EXCLUSIVE: RASMI YANGA YAMUACHIA GADIEL SIMBA, WALIRUDISHA JEMBE
Uongozi wa Yanga umekubali yaishe na kumuachia beki wao wa pembeni, Gadiel Michael kutua Simba kwenye usajili wa msimu ujao baada ya kutofikia muafaka...
OKWI NA SIMBA WATUNISHIANA MISULI, TIMU ILIYO KARIBU KUMALIZANA NAYE YATAJWA
Mitandao na Magazeti ya kuaminika ya Afrika Kusini yamesema uwezekano wa Emmanuel Okwi kusaini Kaizer Chiefs ni asilimia 85, lakini Simba wamedai haendi kokote.Okwi...
KIUNGO SIMBA AMWAGIA SIFA USAJILI WA SHIKALO YANGA
Kiungo wa zamani wa Simba Mkenya, Jerry Santo ameonyesha hisia zake kwa Yanga juu ya usajili wa kipa, Farouk Shikalo.Kwa mujibu wa gazeti la...
MAJEMBE MAPYA YANGA KUTUA LEO DAR
Uongozi wa Yanga chini Mwenyekiti wake DK Mshindo Msolla unaanza kuwapokea nyota wake wapya wa kigeni leo tayari kwa maandalizi ya msimu ujao wa...
INSTAGRAM, FACEBOOK NA WHATSAPP ZAKUMBWA NA TATIZO DUNIA NZIMA
MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya watumiaji wameeleza kushindwa kupakia...
WALTER BWALYA : NIPO TAYARI KUSAINI SIMBA
WALTER Bwalya mshambuliaji wa Nkana FC ya Zambia amesema kuwa yupo tayari kusaini Simba iwapo watamhtaji.Bwalya amekuwa akihusishwa kujiunga na Simba na kuna taarifa...
MAALIM BUSUNGU: LIKIJA DILI KUBWA NASAINI
MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa timu ya Lipuli amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kucheza mpira iwapo timu itatokea timu itakayompa dau...
RUVU SHOOTING YAGOMEA WACHEZAJI WA KIGENI
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi kutokana na kuamini uwezo wa wachezaji wa...