NYOTA HAWA WA SIMBA WAMPASUA KICHWA MBELGIJI
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana kazi ngumu ya kufanya kwa sasa baada ya nyota wake kujiunga na timu ya Taifa.Kocha...
BAJETI YA SIMBA KWENYE SIMBA DAY MSIMU HUU NI MARA MBILI YA MSIMU ULIOPITA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bajeti yao msimu huu kuelekea siku ya Simba day ni moto wa kuotea mbali kwani wamejipanga kutumia mkwanja mrefu.Mtendaji...
LIVERPOOL WATAJA SABABU YA KUSMAJILI KINDA ELLIOT KUTOKA FULHAM
JURGEN Klopp Meneja wa Liverpool amesema kuwa usajili wa kinda Harvey Elliot ndani ya klabu yake ni mzuri na wenye manufaa.Klopp amesema kuwa lengo...
MBARAZIL WA SIMBA AKIWASHA HUKO SAUZI
MBRAZIL anayekipiga Simba ambaye ni kiraka anacheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji Gerson Vieira amesema kuwa ni furaha kuwa ndani ya...
MANENO YA AUSSEMS KUWASHTUA YANGA KUWA WALE JAMAA WA BOTSWANA “SI WATU WAZURI”
TOWNSHIP ROLLERSMbelgiji Mbelgiji Patrick Aussems ambaye ni Kocha wa Mabingwa wa Tanzania, Simba amewaonya Yanga kuhusiana na wapinzani wao kutoka Botswana.Aussems amewaambia wapinzani wao...
KOCHA ZAHERA ASITUMIKE KAMA FIMBO YA KUIADHIBU YANGA KUWAFAIDISHA WACHACHE
NA SALEH ALLYUTAKUWA umesikia zile taarifa kwamba Kocha Mwinyi Zahera hawezi kurejea tena nchini kwa kuwa anaidai Klabu ya Yanga fedha zake, hivyo ameamua...
REAL MADRID WASITISHA DILI LA BALE KUTIMKIA CHINA
GARETH Bale bado yupoyupo ndani ya Real Madrid kutokana na uhamisho wake wa kujiunga na klabu tajiri ya China Jiangsu Suning kupotezewa.Bale alikuwa anahitajika...
NAHODHA STARS ABEBA MATUMAINI YA KUTOSHA KUFUZU CHAN
JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa kwa sasa akili zao ni kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Kenya unaotarajiwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele CHAMPIONI Jumatatu