CHONDE CHONDE, TUNAMUABISHA SAMATTA

0
Hali inazidi kuwa mbaya na hatari ya utandawazi inaonekana maana leo hii mashabiki wa soka nyumbani Tanzania wanaweza kuwasiliana moja kwa moja na klabu...

MABINGWA WATETEZI CITY MAMBO BADO, SPURS YAWAFANYIA BALAA

0
STEVEN Bergwijn, nyota wa Spurs alifungulia balaa la mabao mbele ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliomuacha Pep Guardiola akiziacha pointi...

YONDANI KUITEMA YANGA, UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA CHAMPIONI LEO JUMATATU

0
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu.

LIVERPOOL YATAKA KUFANYIWA UMAFIA

0
Klabu ya Juventus inapanga kutenga paundi za Uingereza milioni 150 wakati wa kipindi cha majira ya joto kumnasa beki wa Liverpool na timu ya...

MCHEZAJ YANGA AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KIWANGO CHA TIMU YAKE

0
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Bakari Malima, amesema kuwa kiwango cha timu hiyo kwa sasa kimezidi kuongezeka.Malima ameeleza namna uchezaji wa Yanga unavyoenda hivi...

SIMBA HII SHANGWE TU

0
KIUNGO wa Simba, Gerson Fraga, amethibitisha kuwa yeye ni Mbrazil halisi, baada ya jana kuweka nyavuni mabao yote mawili katika mchezo wa Ligi Kuu...

KOCHA SIMBA AKASIRIKA, AJA NA MBINU MBADALA

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderboeck raia wa Ubelgiji amekasirishwa na kitendo cha wachezaji wake kuwaruhusu wapinzani kuingia na mpira ndani ya 16, hivyo...

NAMNA FIFA ILIVYOINGILIA USAJILI WA MIQIUSSONE SIMBA

0
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limemtaka kiungo wa Simba, Luis Jose Miquissone kuwaandika barua ya kuchagua wapi anataka kucheza kati ya Simba na...