KUELEKEA ‘KARIKAOO DERBY’…BENCHIKHA AWAPA KISOMO MASTAA WOTE SIMBA…
KUELEKEA mchezo wa Kariakoo Derby, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amefanya kikao kizito na wachezaji wake kwa kuyaweka mambo sawa kabla ya Aprili...
YANGA vs SIMBA :- POINTI 3 TATA HIZI HAPA…MAKOCHA WATABIRI SAPRAIZI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatatu ya 16/4/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.
GAMONDI AGEUKA MBOGO…MASTAA HAWA BYE BYE YANGA…MKUDE ATAENDELEA KUWEPO
Taarifa kutoka ndani Young Africans ni kwamba kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kawasilisha mapema ripoti kwa mabosi wa klabu hiyo ikiwa ni...
AHMED ALLY:-TUMEPITIA WAKATI MGUMU WIKI MBILI HIZI…TUNAKWENDA KUMFUNGA MTANI….AFUNGUKA HAYA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa timu hiyo inapitia wakati mgumu ndani ya wiki mbili baada ya...
SHABIKI:- KAMA SIO SERIKALI….MANGUNGU TUNGEMTUNDIKA MLIMA KILIMANJARO…
Shabiki kindaki ndaki wa Klabu ya Simba, Mzee Saleh amesema kuwa mashabiki wa rimu hiyo wanaiogopa Serikali tu vinginevyo wangekuwa wameshafanya vurugu kwa viongozi...
KAMWE AWACHANA MASHABIKI YANGA…SIMBA WAHUSISHWA…AMEFUNGUKA HAYA
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wao kama Yanga wanaichukulia Simba SC kama timu tishio kwenye Ligi ya Tanzania na...
KAMWE:- SIMBA INA UONGOZI MAKINI NA IMARA…TUTAINGIA CHAKA…AWAPIGIA SALUTI WACHEZAJI SIMBA
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wao kama Yanga wanaichukulia Simba SC kama timu tishio kwenye Ligi ya Tanzania na...
UCHAGUZI WAITIKISA SIMBA SC…WANACHAMA WAMCHAGUA MWENYEKITI….MATABAKA YAZALIWA
Kinachoendelea Simba leo ni matokeo mchakato wa uchaguzi Mkuu uliopita.
Uchaguzi ambao ulikuwa na makundi makuu mawili, kundi la waliokuwa wanamuunga mkono Wakili Karua na...
FAHAMU SIRI HII NZITO…ILIYOJIFICHA KWENYE MAFANIKIO YA YANGA…TIMU ILIKUWA HAINA MWENYEWE
Yanga kufanya vizuri ndani na nje ya nchi hakutokei kama bahati, ni mipango, uwekezaji, umoja na utulivu walionao kwa sasa kama klabu.
Kwa sasa Yanga...
SIMBA BADO INA NAFASI KUBWA MBIO ZA UBINGWA…YANGA WAJIPANGE KWA HILI
Simba haijafanya vibaya kama ambavyo inazungumzwa, imetolewa kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ambayo imekuwa kikwazo kwao kwa misimu kadhaa mfululizo.
Kwenye...