Jezi za taifa stars kuzinduliwa leo
Muda mfupi ujao Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, litazindua jezi mpya kwaajili yat timu ya Taifa Tanzania katika michuano ya Mataifa ya...
WACHEZAJI SABA WA SIMBA WANAOPEWA NAFASI YA KUSEPA MSIMU UJAO
IMEELEZWA kuwa kwa sasa kikosi cha Simba kinafanya usajili wa kimyakimya na mpango wake mkubwa ni kufanya maboresho kwenye kikosi chao kwenye michuano ya...
WACHEZAJI 16 WALIOPIGWA PANGA STARS
TIMU ya Taifa ya Tanzania kwa sasa ipo nchini Misri ambapo imeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza Juni...
NYOTA WA MWADUI ANAYEWINDWA NA YANGA KUTIMKIA ULAYA
NYOTA wa kikosi cha Mwadui FC, Salum Aiyee mambo yamezidi kumyokea kwake ambapo imeelezwa kuwa kwa sasa amewekwa kwenye mawindo na timu kama tano...
Adi,Banda na kichuya miongoni wa walioachwa
Kikosi cha timu ya Taifa kimeweka kambi yake ndhini Misri, katika wachezaji 32 waliosafiri na timu iltakiwa wabaki wachezaji 23 tu kwaajili...
KUBWA KULIKO KUTIKISA JUMAMOSI DAR, RATIBA KAMILI HII HAPA – VIDEO
Ratiba kamili ya Yanga Kubwa Kuliko Jumamosi hii, hii hapa
ALIYETAJWA KUSAJILIWA YANGA DILI LAYEYUKA, AMALIZANA NA WASOUTH
Mshambuliaji wa klabu ya Zesco United ya Zambia, Lazarous Kambole amekubaliana maslahi binafsi na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika kusini ambayo atajiunga nayo...
AJIBU APIGWA CHINI YANGA, ZAHERA AMEAMUA
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi ya klabu hiyo kwa kuanza majadiliano ya kumpa mkataba mpya nahodha wa timu hiyo...
Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa...