UCHAGUZI WAITIKISA SIMBA SC…WANACHAMA WAMCHAGUA MWENYEKITI….MATABAKA YAZALIWA
Kinachoendelea Simba leo ni matokeo mchakato wa uchaguzi Mkuu uliopita.
Uchaguzi ambao ulikuwa na makundi makuu mawili, kundi la waliokuwa wanamuunga mkono Wakili Karua na...
FAHAMU SIRI HII NZITO…ILIYOJIFICHA KWENYE MAFANIKIO YA YANGA…TIMU ILIKUWA HAINA MWENYEWE
Yanga kufanya vizuri ndani na nje ya nchi hakutokei kama bahati, ni mipango, uwekezaji, umoja na utulivu walionao kwa sasa kama klabu.
Kwa sasa Yanga...
SIMBA BADO INA NAFASI KUBWA MBIO ZA UBINGWA…YANGA WAJIPANGE KWA HILI
Simba haijafanya vibaya kama ambavyo inazungumzwa, imetolewa kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ambayo imekuwa kikwazo kwao kwa misimu kadhaa mfululizo.
Kwenye...
KUELEKEA KARIAKOO DABI….BOSI YANGA AFUNGUKA SIRI HII…BAADA YA KUTUA DAR
Baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kutokea Mwanza katika pambano lao dhidi ya Singida Fountain Gate,...
PESA IPO HUKU BASHIRI NA MERIDIANBET SASA…ODDS ZA LEO NI UHAKIKA..
Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet wanasema hivi unayo nafasi ya kuwa milionea leo hii ukiamua kubashiri na wao kwani huku kuna kila kitu...
NJIA 100 ZA MALIPO UKICHEZA KASINO YA FRUIT SALAD 100 …
Ni wakati mwingine tena wa kufahamu kuhusu Michezo ya Kasino ya Mtandaoni iliyopo Merdianbet. Fruit Salad 100 unakupa nafasi ya kushinda kwa kiwango cha...
NINJA AFUNGUKA A-Z ISHU YA FEI TOTO…KUMBE ALIMCHANA KIONGOZI YANGA…AMPIGIA SALUTI ZIMBWE JR
BEKI wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu 'Ninja' kuna jambo amejifunza kutokana na kupata nafasi ya kucheza nje kwa awamu mbili...
ISHU NZIMA YA BENO KAKOLANYA IPO HIVI…UONGOZI SINGIDA FG WATEMA CHECHE…KOCHA AFUNGUKA
BAADA ya taarifa za nahodha wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya kutoweka kambini saa chache kabla ya mchezo
dhidi ya Yanga katika Uwanja wa CCM...
RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA…ATUHUMIWA KUPANGA MATOKEO NA UPENDELEO…KIKAANGONI CAF
Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto'o,
aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa...
HII SASA NOMA…YANGA YAMPANDISHA SANGOMA NDEGE…JEMEDARI SAID AFUNGUKA A-Z
Mchezaji wa zamani wa Kariakoo Lindi, Mukura Victory ya Rwanda, 82 Rangers na Kahama United zote za Shinyanga, Vijana ya Ilala, Dar es Salaam...