LEO SUPER CUP KITAWAKA, REKODI YA REFA WA KIKE KUANDIKWA MWENYEWE ASEMA HANA HOFU

0
1972 ni mwaka ambao wazo la michuano ya Super Cup lilianzishwa na mashabiki wa England ambao walitaka kuona bingwa wa European Cup na Champion...

AJIBU, MANULA MAMBO SAFI SIMBA

0
WACHEZAJI wa Simba, mlinda mlango, Aishi Manula na kiungo mshambuliaji, Ibrahim Ajibu wanajiunga na kikosi hicho baada ya kutoka kwenye majeraha huku mshambuliaji Wilker...

MBWANA SAMATTA AWAPA CHEMSHA BONGO MASHABIKI WAKE NAMNA HII

0
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania leo ameacha swali kwa wadau mna mashabiki wake kwenye ukurasa wake wa Instagram akihitaji wamtabirie...

MDOGO WAKE FRANCIS CHEKA AIBUKA, ATAJA UKWELI KUHUSU KAKA YAKE

0
COSMAS Cheka, mdogo wa Francis Cheka ameibuka na kukanusha taarifa zinazosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii kwamba Kaka yake alikuwa miongoni mwa wahanga...

BREAKING: NYUMBA YAWAKA MOTO KARIBU NA KITUO CHA MAFUTA YA PETROL TABATA

0
Baadhi ya wakazi wa Tabata jijini Dar es Salaam wakishirikiana kuuzima moto unaoendelea kuwaka katika moja ya nyumba iliyopo eneo la ToT, mita chache...

ZAHERA AJA NA RIPOTI YA BOXER YANGA, ATUMIA VIDEO KUWAFUATILIA ROLLERS

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema wachezaji wa kikosi chake wako vizuri tayari kwa mechi za kitafiki kuelekea Mchezo wa marudiano wa klabu...

MWALIMU MKUU ATUHUMIWA KUBAKA, KUMPA MIMBA MWANAFUNZI, ASOMEWA MASHTAKA SABA

0
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, iliyopo Kigoma, Jason Rwekaza (Katikati) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka saba, sita...

MAPYA YAIBUKA JUU YA NEYMAR PSG NA BARCELONA, TETESI KIBAO ZA SOKA ULAYA HIZI...

0
Maafisa wa Paris St-Germain na Barcelona walikutana kwa mara ya kwanza kujadili kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa PSG Neymar, 27, lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa...

MKUDE AWAUMIZA AZAM

0
Kikosi cha Simba, Jumamosi hii kitashuka uwanjani kupambana na Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...

MALINZI KORTINI: TFF ILIKUWA NA HALI NGUMU, NILIIKOPESHA 15M

0
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (59), amedai mahakamani kuwa wakati anaingia madarakani shirikisho hilo lilikuwa na hali ngumu...