MEXIME:- BENCHIKHA ‘ALIBUGI’ KUMTOA CHAMA….ALINIRAHISISHIA KAZI SANA…
Kocha Mkuu wa Klabu ya Singida Black Stars (zamani Ihefu FC) amesema kuwa kocha wa Simba, Abdelhak Benchikha alimrahisishia kazi baada ya kumtoa nyota...
RIPOTI YA GAMONDI YASHTUA YANGA….BENCHIKHA ATUPA LAWAMA KWA MASTAA SIMBA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatatu ya 15/4/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.
ALIYEMPA CHAMA NGURUWE MWENYE MIMBA ATOA KAULI HII KWA MABOSI SIMBA….
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kijiji cha Nguruwe Project kilichopo Zamahero wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma ambaye ni shabiki kindakindaki wa Timu ya Simba SC...
A-Z GUEDE ALIVYOJIBU MASWALI MAGUMU LEO….YANGA WAKINOA PANGA KWA DABI YA KARIAKOO…
WAKATI Simba ikiianza wiki ya Dabi ya Kariakoo kinyonge baada ya sare ya 1-1 na Ihefu katika mechi ya jana, watani wao Yanga wameongeza...
KISA SIMBA …KWA BENCHIKHA LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA….UWEZEKANO WA KUSEPA UKO HIVI…
KWA zaidi ya dakika tano, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha alionekana kusalia kwenye Uwanja wa Liti, mjini Singida huku akionekana kuzama katika tafakari...
IFANYE JUMAPILI YAKO KUWA YA USHINDI KWA ODDS HIZI ZA UHAKIKA NDANI YA MERIDIANBET…
Kama jana hujafanikiwa kupiga pesa ndugu mteja, basi leo ni siku yako yaani kila kitu kinawezekana endapo utaamua kubashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA...
KUHUSU TIMU KUSUA SUA….MASTAA SIMBA WAANIKA ‘UOZO’ ULIPO…VIONGOZI WATAJWA…
Manguli wa zamani wa Simba, hawaridhiki na hali ya mambo ndani ya klabu hiyo. Wameliambia Mwanaspoti jana baada ya kula ubwabwa wa Eid kwamba...
HUU HAPA UKWELI KUHUSU MKATABA WA SAIDOO NA SIMBA…”NI LAZIMA ACHEZE ‘FIRST 11’….”
Taarifa kutoka chanzo kilicho karibu na kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza zinaeleza kuwa, mkataba wa mchezaji huyo una kipengele cha kwamba lazima aanze...
MAYELE:- ENG HERSI ALINISAINISHA MKATABA WA HOVYO SANA NIKIWA YANGA….
Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids, Fiston Mayele amesema kuwa alifanyiwa mambo ya hovyo na uongozi wa Klabu ya Yanga kabla ya kufanya maamuzi ya...
BAADA YA KUTOLEWA CAF…NGASA KAIBUKA NA JIPYA KUHUSU YANGA…
Aliyewahi kuwa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa amesema kuwa kikosi cha Yanga cha msimu huu ni tishio kuliko Yanga yoyote...