Okwi sio mchezaji wa Simba! Kaizer Chiefs yahusika
Juzi Emmanuel Okwi aliandika katika mtandao wake wa Instagram kuwa neno kwa heri ni neno chungu sana.Maneno ambayo yaliweka mjadala kuhusiana na...
RUVU SHOOTING HAWAAMINI WANACHOKIONA TPL
KOCHA wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji amesema kuwa haamini macho yake kubaki ligi kuu kwani alikuwa anapitia kipindi kigumu msimu huu hali iliyomfanya akate...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
YANGA YATAJA KILICHOIPONZA KUKOSA UBINGWA MSIMU HUU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa T-Shirti lake alilokuwa analipenda kuvaa msimu huu halina bahati ya kubeba ubingwa hivyo msimu ujao atabadilisha...
SIMBA: HAIKUWA RAHISI KUFIKA HAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kwao kutwaa ubingwa kwani walicheza mfululizo hasa kipindi cha mwisho ila juhud zimewapa...
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
YANGA YAFUNGUKA JUU YA KUMSAJILI NDEMLA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kumsajili kiungo wa Simba, Said Ndemla ambaye amekuwa akihusishwa kujiunga na...
NDUGU YAKE NA MEDDIE KAGERE AMWAGA WINO YANGA
Imefahamika kuwa winga hatari wa kulia na kushoto anayekipiga Klabu ya Mukura Victory Sports ya Rwanda, Patrick Sibomana, usiku wa kuamkia juzi alipanda ndege...
ZAHERA: NITAWAFUKUZA WACHEZAJI WOTE – VIDEO
TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga Sc kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho wa Ligi...