ZAHERA AMZUNGUMZIA KIVINGINE KABISA SAID NDEMLA, AIBUA KIOJA KWA MKAPA
TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu...
RASMI SIMBA KUWEKA KAMBI MAREKANI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji na mwekezaji wa timu hiyo, mfanyabiashara Mohammed Dewji wamekubaliana kwa pamoja kuipeleka timu hiyo nchini...
UFAFANUZI NAMNA KAGERA ILIVYOSHUKA DARAJA
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bodi ya Ligi kabla ya michezo GD ya Stand United ilikuwa -9 na GD ya Kagera Sugar ilikuwa -11...
ZIDANE ANA MAMBO MANNE YA KUWEKA SAWA REAL
BAADA ya kufanya vibaya msimu huu wa 2018/19, uongozi wa Real Madrid unakabiliwa na kibarua kigumu cha kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri msimu ujao.Real Madrid...
WAZAWA JIPIMENI KWENYE SURA YA JOHN BOCCO
Na Saleh AllyMABINGWA wa Ligi Kuu Bara kwa misimu miwili mfululizo sasa, Simba tayari wanakwenda kwenye usajili ambao utawalazimisha kuangalia kilicho sahihi zaidi.Wakati Simba...
KIMENUKA TENA! MAPACHA WA P-SQUARE KUBURUZANA MAHAKAMANI
Wasanii maarufu nchini Nigeria, ambao ni mapacha Peter na Paul Okoye (P-Square) huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul ametumia picha ya mwenzake...
SIMBA FULL SHANGWE LEO WABEBA KOMBE LAO LA 20 TPL
MABINGWA watetezi Simba leo wamekabidhiwa kombe la Ligi Kuu Bara na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola baada ya kumaliza mchezo...
Stand United yashuka rasmi daraja!
Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Stand United ya Shinyanga rasmi wameshuka daraja baada ya kufungwa...