KUELEKEA MECHI YA AZAM FC Vs YANGA….UTAMU WA MECHI UKO HAPA AISEE πππ….
Inapokuja mechi kubwa ya dabi yoyote duniani kuna vitu vingi ambavyo hutazamwa katika kuuzungumzia ukubwa wa mchezo husika.
Uhamisho wenye utata, matokeo yenye kuumiza na...
PAMOJA NA KUOMBA MSAADA WA πΈπ….AL MASRY ‘WACHENYETWA’..SIMBA AKIANDIKA REKODI..
HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al...
DIRISHA LA USAJILI LIKIFUNGULIWA TU….MASHINE HII YA KAZI HUENDA IKATUA YANGA……
YANGA imeanza mapema harakati za kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao huku ikipiga hodi katika Ligi Kuu Kenya kwenye kikosi cha Kenya...
NANI KUKUPATIA MKWANJA MECHI ZA UEFA LEO….?
Kama kawaida leo ni piga nikupige, pale Emirates kitawaka vilivyo yaani kila mtu anapigania pointi 3. Huku Bukayao Saka, kule Kylian Mbappe nani kuibeba...
KUELEKEA MECHI NA AL MASRY KESHO…..FADLU ‘HACHEKI NA WOWOTE’ AISEE…SIKIA PLAN ZAKE ….
KOCHA wa Simba SC, Fadlu Davids ameonyesha matumaini katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kupoteza ugenini...
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA KUWA MILIONEA NA MERIDIANBET…
Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo...
BAADA YA KUSHINDWANA NA YANGA….CHIMBO JIPYA LA BALEKE HILI HAPA….
KUNA uwezekano mkubwa wa straika wa zamani wa Simba na Yanga, Jean Baleke akajiunga na AmaZulu FC ya Afrika Kusini, baada ya kuwepo kwa...
HUYU HAPA WINGA TELEZA KUTOKA AZAM FC ANAYENUKI JANGWANI….ANA BALAA HUYOOOππ
YANGA inapiga hesabu za kuwa na winga wa maana anayetumia mguu wa kushoto kwa msimu ujao na akili hiyo imetua kwa mtu mmoja mtunguaji...
MTEGO WA UBINGWA LIGI KUU HUU HAPA….SIMBA AU YANGA MMOJA AKIJIKWA TUU KWISHAA…
BAADA ya Yanga kupata ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Tabora United hivi karibuni, hakika mechi saba zilizobaki kwa Simba na Yanga zimewekewa mtego...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU KESHO KUTWA….SIMBA WAIRUSHA ROHO YANGA….KARIA NDANI…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amewataka mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuacha kuwapa nafasi watu...