FREDDY AUKUBALI MOTO WA ATEBA…AITABIRIA SIMBA FAINALI
Straika wa zamani wa Simba, Freddy Michael ambaye alikuwapo uwanjani akiishuhudia timu yake ya zamani ikimkanda Mwarabu mabao 3-1 na kufuzu hatua ya makundi...
FADLU: SIMBA INAENDA KUWA TISHIO
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa timu hiyo ambao wanaonekana kuanza kukisifia kikosi chao baada ya kutinga hatua ya...
GAMONDI AWEKA WAZI SIRI YA USHINDI MKUBWA
Jumamosi Yanga ikicheza katika Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kutoa kipigo cha...
DILUNGA HUMWAMBII KITU KWA CHAMA.
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Hassan Dilunga amemtaja Clatous Chama kuwa ni kiungo bora aliyewahi kumshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni kwa mastaa wa...
FADLU AWATAJA KIBU NA CAMARA MASHUJAA WA MNYAMA
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba juzi dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika, umempa mzuka kocha wa timu...
THIENRY MANZI BEKI AL AHLI AMUOMBA MSAMAHA DEBORAH
Beki wa Al Ahli Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye mchezo wa jana wa...
MUDATHIR AFICHUA SIRI YA MABAO YAKE
BAADA ya kutupia bao moja na kutoa pasi mbili za mwisho zilizozaa mabao mawili kati ya sita yaliyofungwa na Yanga Jumamosi iliyopita, kiungo wa...
KAMA ULIPITWA NA “UHONDO”…HIVI NDIVYO SIMBA ‘ILIVYOWACHANIA MKEKA’ WAARABU JUZI…
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya...
MICHO: KWA SIMBA HII YEYOTE ANAKALIA
KOCHA wa zamani wa Yanga, Milutin ‘Micho’ Sredojevic, ameipongeza Simba kwa kiwango kizuri ilichokionyesha katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi...
BEKI SIMBA ATAROKA KAMBINI…BALAA JINGINE LAIBUKA
WAKATI sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka likiwa bado halijaisha, limejibuka jipya kuhusu beki wa timu hiyo Mkongomani Daniella Ngoyi ambaye naye...