KUELEKA MECHI NA YANGA….MORRISON AIPA TIMU YAKE JINA JIPYA ILI WASHINDE KIRAHISI…
KUELEKEA mchezo wa keshokutwa kati ya Yanga na KenGold FC, utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, winga mpya wa timu hiyo, Bernard...
BAADA YA KUPANGIWA NIGERIA NA TUNIA AFCON 25….KOCHA TAIFA STARS AILILIA SERIKALI…
ILI kuhakikisha Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), inafanya vizuri katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), maandalizi yake yawe ni...
KISA KUMPIGA KAGERA GOLI 4-0 JUZI….KOCHA YANGA AJIPA KOMBE LA LIGI NA FA….
BAADA ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amekisifu kikosi chake, akisema sasa kimekuwa moto wa...
LIGI MBALIMBALI KUKUPATIA PESA LEO….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Je unajua kuwa siku ya leo ni siku nzuri ya wewe kutandika jamvi lako la kibabe na kuamka ukiwa una tabasamu murua?. Basi haya...
HIVI NDIVYO DK 90 ZA MAAJABU ZILIVYORUDISHA UTAWALA WA SIMBA LIGI KUU….
USHINDI wa mabao 3-0 iliyoupata Simba jana dhidi ya Tabora United kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, umedhihirisha kuwa 'Nyuki' hao wa...
CHEZA KASINO BULLS EYE BELLS PATA BONASI NA JACKPOT KUBWA…..
Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi kadri iwezekanavyo, na ukifanikiwa,...
WAKIJIANDAA NA MAKUNDI….SIMBA WAPISHANA NA ‘GARI LA MSHAHARA’ CAF…
NI sahihi kusema Simba imepishana na gari la mshahara baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kupitisha uamuzi wa kuruhusu klabu kuwatumia wachezaji ambao...
KISA CAF…..KOCHA MSAUZI ‘AJITWIKA MABOMU’ KWA FADLU NA SIMBA YAKE….
SIMBA inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ya kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara itakapoikabili Tabora United, lakini kule...
TABORA UTD vs SIMBA ….HAYA HAPA UNAYOPASWA KUYAJUA LEO KABLA YA MECHI….
NGOJA tuone leo itakuwaje pale ambapo Tabora United, vijana wa kocha Anicet Kiazayidi watakapokuwa wenyeji wa Simba inayonolewa na Fadlu Davids katika mchezo wa...
MCONGO AZUIA DILI LA MAX KWENDA SIMBA….MSIMAMO WAKE HUU HAPA KWA YANGA…
WANASEMA jaMBO likimalizika, basi hufuata au lilelile huendelea na hivyo kuwafanya watu kuendelea kulifuatilia au kuanza upya kufuatilia linalojitokeza.
Hivyo ndivyo ilivyo pia kwa supastaa...