NAFASI YA KUWA MILIONEA UNAYO LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani...
MERIDIANBET YAENDELEA KUCHANUA KIMATAIFA….
Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI alionesha namna ambavyo kampuni...
RAMOVIC:- USHINDI KIRAHISI LIGI KUU UMETUPONZA YANGA CAF…LIGI TZ NI DHAIFU….
KOCHA Mkuu wa Yanga, Saed Ramovic, amesema moja ya sababu zilizofanya timu yake ishindwe kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
KWA SIMBA HII YA FADLU…..UWIIII….KUNA KITU KINAKUJA KILA MTU ATASHANGAA 😎👌🔥…
KATIKA dakika 270 sawa na mechi tatu za mwisho kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kujipata kutokana na namna...
BAADA YA KUWAPASUA WAARABU DAR…..FADLU APANDISHA ‘KIBRI’ SIMBA…
WAKATI Simba ikitarajiwa kukutana na timu moja kati ya Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosas ya Ivory Coast au Al Masry ya Misri, Kocha...
BAADA YA KUFUZU KIBABE KWENDA 8 BORA CAF….HILI HAPA NENO LA MO DEWJI KWA...
WAKATI Klabu ya Simba ikitangaza kuwa baada ya kumaliza mchezo wake dhidi ya CS Constantine, hesabu zote sasa zipo kwenye mechi ya Ligi Kuu...
KISA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA….YANGA WAFUNGUKA WALICHOKIPATA A-Z….
KLABU ya Yanga imesema imepata somo na imejifunza kitu kutokana na kutolewa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo viongozi watakaa na...
PAMOJA NA KUTOLEWA CAF ….HIZI HAPA TAKWIMU ZA ‘KIBABE’ ZA YANGA….
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani...
PIGA MKWANJA KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE LEO…..
Ligi ya mabingwa barani ulaya leo itaendelea na michezo kadhaa itakwenda kupigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ukiwa na nafasi ya kupiga maokoto ya kutosha...
CHEZA SLOTI YA SWEET BONANZA 1000 KASINO! USHINDI X25,000 YA DAU LAKO….
“Sweet Bonanza 1000 ni sloti ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa michezo ya kubahatisha Pragmatic Play. Mchezo huu umejaa bonasi za...