Habari za Yanga leo

BAADA YA KUMALIZANA NA AL HILAL….YANGA WAANZA ‘USHUSHU’ KWA WAALGERIA😁😁😁…

0
BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan uliochezwa Uwanja wa De la Capitale, jijini Nouakchott, nchini Mauritania juzi...
Habari za Simba na Yanga

TAKWIMU ZINAONGEA….HAPA NDIPO SIMBA WALIPOIPIGA BAO YANGA MSIMU HUU…

0
WAKATI jumla ya mabao 264 yakifungwa hadi kumalizika kwa mechi za mzunguko wa kwanza, Simba inaonekana ni hatari zaidi kufunga mabao wachezaji wake wanapokuwa...
Meridianbet

JUMANNE YA USHINDI HII HAPA…..ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA NDANI YA MERIDIANBET…

0
Leo hii ni siku nyingine ya wewe hapo kushinda ukiwa na wakali wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet kwani mechi za kufanya uondoke na mamilioni...
Habari za Michezo leo

KUHUSU DILI LA BIL 3.5 KWA MZIZE NA AZIZI KI KUTUA WYDAD …YANGA WATOA...

0
KLABU ya Wydad Athletic ya nchini Morocco imeendelea kuwasilisha maombi ya kutaka kumnunua mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, lakini sasa imeongeza ikisema pia inahitaji...
Habari za Yanga leo

KUHUSU USAJILI DIRISHA DOGO….YANGA WATANGAZA SIKU YA KUANIKA MASTAA WAPYA….

0
KLABU ya Yanga imesema kuwa itawatangaza wachezaji wake iliyowasajili kipindi hiki cha dirisha dogo, itakaporejea nchini kutoka Mauritania ambako jana usiku waliibuka na ushindi...
Habari za Simba leo

KUHUSU KUTOKUWA NA KIKOSI CHA KWANZA RASMI…MASTAA SIMBA WAFICHUA YA FADLU…

0
HATIMAYE baadhi ya wachezaji wa Simba wametoa siri ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids, kupenda kuwachezesha wote, badala ya kutegemea kundi la...
Habari za Simba leo

BAADA YA KUWA ‘MCHOMAJI’ KWA MECHI ZA HIVI KARIBUNI….CHE MALONE AANGUA KILIO SIMBA…

0
BEKI wa kati wa Simba, Che Malone leo amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kutokana kosa alilolifanya jana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho...
Habari za Michezo leo

SI AHOUA WALA PACOME…SIMBA ,YANGA HAKUNA WA KUMCHEKA MWENZAKE…UKWELI HUU HAPA..

0
LIGI Kuu Bara imesimama huku ikiwa zimeshachezwa jumla ya mechi 124 zilizokusanya mabao 265 yakiwamo 110 yaliyofungwa na nyota wa kigeni 47 na mengine...
Habari za Simba leo

ALIYEFELISHA DILI LA MANZOKI AITIBULIA TENA SIMBA KUIPATA MASHINE HII YA KAZI….

0
KAMA ulidhani ilimpozuia straika Cesar Lobi Manzoki misimu miwili iliyopita ilitokea kwa bahati mbaya, basi umekosea kwani klabu ya Vipers imeendelea kuibania Simba. Simba ambayo...
Habari za Yanga leo

KUHUSU KUVUNJIWA MKATABA…BALEKE AISHIKA YANGA KOONI….HUU HAPA MSIMAMO WAKE….

0
YANGA imekuwa ikitajwa kutaka kumtema mshambiliaji Jean Baleke, lakini inaelezwa hadi sasa mambo bado magumu kutokana na kuwepo kwa vipengele vinavyoufanya mkataba baina yao...