MAPINDUZI YA NUNO ESPIRITO SANTO NDANI YA NOTTINGHAM FOREST…
Timu ya Nottingham Forest inazidi kungโara chini ya uongozi wa Nuno Espirito Santo, ambaye alijiunga na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu. Baada ya...
HAYA SASA YANGA MSHINDWE WENYEWE TU….REFA MECHI NA MAZEMBE NI ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ…
YANGA imeingia kambini jana kuendelea na maandalizi kabla ya kukutana na TP Mazembe, Jumamosi Januari 4, lakini tayari imepewa mwamuzi wa bahati atakayeamua mchezo...
BRAZIL YAFIKIWA RASMI NA MERIDIANBET…..
Meridianbet, moja ya waendeshaji wakuu wa kimataifa wa michezo ya kubashiri na michezo ya mtandaoni na sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), rasmi...
RASMIII….KERO ZA CHAMA ZARUDI UPYAA YANGA….KAZI KUANZIA KWA MAZEMBE…
TAARIFA ikufikie kwamba, nyota watatu wa Yanga, Djigui Diarra, Max Nzengeli na Clatous Chama wamerejea uwanjani wakiwa tayari kuwavaa TP Mazembe.
Yanga wanatarajia kuwa wenyeji...
MAMBO YA MPANZU HUKO SIMBA SASA NI BAMBAM…CAF WAPITISHA JINA LAKE….
WINGA wa Simba, Elie Mpanzu sasa ana ruhusa kucheza michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya usajili wake wake kimataifa kukamilika na kupata...
KUHUSU MECHI NA WATUNISIA…NGOMA AWASANUA SIMBA….AKUMBUSHIA YA ALGERIA…
WAKATI kikosi cha Simba kikielekea Tunisia alfajiri ya leo kuifuata CS Sfaxien, kiungo wa timu hiyo ambaye pia ni nahodha msaidizi, Fabrice Ngoma ametuma...
KUELEKEA MECHI NA TP MAZEMBE….HIZI HAPA DK 270 ZA YANGA KUSUKA AU KUNYOA CAF…
YANGA inafahamu kuwa ina dakika 270 sawa na mechi tatu ili kuamua hatma ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Ili...
ETI MORRISON KUTUA KENGOLD๐คฃ…? UKWELI HUU HAPA AISEE…..
WAKATI KenGold ikiendelea kuimarisha kikosi, macho na masikio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini Mbeya ni kuona staa kutoka Ghana, Bernard Morison...
KUHUSU KUTUA SIMBA …. FEI TOTO AVUNJA UKIMYA….ATAJA MSIMAMO WAKE KWA AZAM FC…
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi...
KWA KAULI HII YA FADLU…SIMBA MJIANDAE KULA ‘BIRIANI KUKU’ MWAKA HUU ๐๐….
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba watarajie makubwa zaidi mechi za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania...