NAFASI KUBWA YA KUONDOKA NA MSHINDO IPO HAPA….
Jumamosi ya mwisho kabla ligi kuanza hii hapa imefika ambapo wakali wa ubashiri wanataka kuhakikisha kuwa huondoki patupu. Tengeneza jamvi lako la ushindi sasa...
RASMI….MABILIONI YA YANGA KUWEKWA HADHARANI….ENG HERSI KUANIKA KILA KITU….
WANACHAMA na viongozi wa Yanga wameitana jijii Dar es Salaam mwezi ujao kwa lengo la kujadili mambo yao kabla hata msimu mpya wa mashindano...
PAMOJA NA KUWA NO 5 KWA UBORA AFRIKA….CAF WAITUPA SIMBA LIGI YA ‘MCHANGANI’ ….
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba ambayo ni namba 5 kwa ubora afrika na Yanga ambao ni...
CHAN 2024:….HIVI NDIVYO TZ INAVYOWEKA NA KUVUNJA REKODI MPYA KILA MECHI….
LICHA ya kwamba haikuonyesha kiwango cha kutisha kulinganisha na ilivyocheza mechi ya ufunguzi wa fainali za CHAN 2024, lakini rekodi zimeandikwa na Taifa Stars...
HUKO YANGA MAMBO NI π₯π₯π₯π₯….BALAA LA HUYO CONTE NA ‘CASEMIRO’ LIGI IANZE TU….
KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna balaa la...
KWA MKATABA HUU WA YANGA KWA TSHABALALA….SIMBA WALISTAHILI KUKIMBIA…ATAKUNJA BIL 1.2
BEKI Mohammed Hussein βTshabalalaβ ametambulishwa usiku wa juzi akiwa mmoja ya nyota wapya wa Yanga akitokea Simba, lakini saini ya mkataba uliomfanya avae uzi...
HUKO SIMBA MAMBO BADO AISEEE…..ATEBA AKIPIGWA BEI TU…CHUMA HIKI KINATUA CHAP…
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na...
HII HAPA TAREHE YA SIMBA, YANGA KUKUTANA MSIMU HUU…
BODI ya Ligi Tanzania imetangaza mechi za timu nne za juu, Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars, ambazo zitapambana kuwania Ngao ya Jamii,...
A-Z JINSI CHIKOLA ALIVYOTUA YANGA KWA ‘MZAHA’ WA ENG HERSI….
WINGA, Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga.
Yanga juzi...
NAFASI YA KUSHINDA UNAYO MERIDIANBET LEO…
Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa suka jamvi lako la kibabe hapa ujiweke kwenye nafasi ya wale ambao wataondoka na mshindo...