Ratiba Mpya Taifa Stars Morocco: Klabu Rabat Kwanza, Morocco U23 Oktoba 5
Taifa Stars ina ratiba ya michezo miwili ya kirafiki Morocco, ikianza Rabat Oktoba 2 kabla ya kukutana na Morocco U23 Oktoba 5 mjini Tangier.
Taifa Stars ina ratiba ya michezo miwili ya kirafiki Morocco, ikianza Rabat Oktoba 2 kabla ya kukutana na Morocco U23 Oktoba 5 mjini Tangier.
Mechi za Kimataifa zinazidi kunoga huku mechi mbalimbali za pesa zikiendelea, Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Je nani unampa nafasi ya…
Cyprian Kachwele ameifungia Taifa Stars katika sare ya 1-1 dhidi ya Madagascar. Hii ndiyo analysis ya mchezo na maana yake kwa Tanzania kuelekea AFCON 2027.
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo inashuka dimbani kumenyana na Madagascar katika mchezo wa Kundi L wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la…
Baada ya Taifa Stars kufungwa 2-0 na Guinea-Bissau licha ya kutawala mpira na kutengeneza mashuti mengi, Madagascar sasa ni kipimo cha finishing, timing na transition.
Taifa Stars inaelekea Morocco kumkabili Madagascar baada ya kupoteza 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau. Gamondi sasa ana kazi ya kurekebisha ufanisi, balance na uchaguzi wa kikosi.
Taifa Stars ilikuwa na 60% possession na mashuti 20 dhidi ya 10, lakini Guinea-Bissau ikatumia mashuti mawili yaliyolenga lango kufunga mabao mawili. Hii ndiyo analysis…
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeanza vibaya mbio za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027) baada ya kukubali kichapo cha…
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania imetoa ahadi nzito ikithibitisha kuwa kufikia Desemba 2026, maandalizi yote ya Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) yatakuwa…
Serikali ya Tanzania imeweka wazi kuwa imeshalipa jumla ya Shilingi 104 bilioni kwa ajili ya maandalizi na kupata haki ya matangazo ya Fainali za Kombe…