Tag: botswana
KAPTEN MSAIDIZI SIMBA ATOA KAULI KISHUJAA HUKO BOTSWANA
Kapteni Msaidizi wa Simba SC, Mohamed Hussein 'Tshabalala' ameahidi kuondoka na alama zote tatu leo katika mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy nchini Botswana.
Akizungumzia...
SIMBA SIO KINYONGE ATUA BOTSWANA KIFALME
Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamewasiri nchini Botswana tayari kwa ajili ya kupepetana na Jwaneng Galaxy hapo kesho Desemba 2, 2023.
Simba wamewasiri wakiwa...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KILICHOSAFIRI KUELEKEA BOTSWANA
Simba wameondoka nchini leo alfajiri Desemba 1, 2023 kuelekea nchini Botswana kwa ajili ya kuwakabili Jwaneng Galaxy, mchezo wao wa pili wa hatua ya...