HERSI ALAMBA SHAVU HILI CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limemteua Mwenyekiti wa Shirikisho cha Klabu Afrika (ACA) na Rais wa Yanga, Hersi Saidi kuwa mjumbe wa Kamati…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limemteua Mwenyekiti wa Shirikisho cha Klabu Afrika (ACA) na Rais wa Yanga, Hersi Saidi kuwa mjumbe wa Kamati…
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ pamoja na vilabu vya Yanga na Simba, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ ametoa maoni yake…
Nilitegemea siku moja kocha wa mpira, Miguel Gamondi atafahamu vizuri tabia ya mashabiki na watu wa mpira hapa Bongo baada ya mwanzo wake mtamu ndani…
Klabu ya Yanga imesema Kocha wao Mkuu, Miguel Gamondi, atakuwa na kibarua kigumu zaidi mwezi huu, katika kuhakikisha timu hiyo inavuna pointi za kutosha kwenye…
Kikosi cha Medeama ya Ghana kinatarajiwa kuja nchini Jumapili Desemba 17 kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa raundi ya nne wa Ligi ya Mabingwa…
Kocha timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2023 baada ya kuiongoza Morocco kumaliza nafasi ya nne kwenye…
Klabu ya Simba imesema kuwa hatima yao ya kufuzu hatua ya makundi na kwenda robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika iko mikononi mwao,…
Kocha mkuu wa kikosi cha Simba Abdelhak Benchikah amesema kile walichokipata katika mchezo wa juzi dhidi ya Wydad AC kitawafanya wajiandae vyema kuelekea mchezo ujao…
Mabingwa wa African Football League, Mamelodi Sundowns wakiwa nyumbani Loftus Versfeld, Pretoria wamelazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya vigogo wa Misri, Pyramids katika mchezo wa…
Baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Medeama juzi, mechi mbili zijazo za nyumbani zimeshikilia kwa kiasi kikubwa ndoto za Yanga kutinga…