Sababu za Simba Kukosa Saini ya Selemani Mwalimu na Kutua Yanga Zafichuka
UONGOZI wa Simba SC kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Crescentius Magori, umeweka wazi sababu zilizowafanya wajitoe kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji Selemani Mwalimu, ambaye…