SIRI YA AZIZ KI KUIKACHA SIMBA, NA KUJIUNGA NA YANGA YAWEKWA WAZI
Mama mzani wa kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso amefunguka kuwa vilabu viwili Tanzania ambavyo ni Simba na Yanga vilikuwa vikiwania…
Mama mzani wa kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso amefunguka kuwa vilabu viwili Tanzania ambavyo ni Simba na Yanga vilikuwa vikiwania…
Wakiwa wanajiandaa na mchezo wa Mzunguuko wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa wa Soka nchini Sudan Al Merrikh, Rais wa…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi, ameweka mitego yake kuelekea mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Al…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wake Mahlatsi Makudubela ‘Skudu’ hayupo kwenye…
Kocha MKuu wa Yanga raia wa Argentina Miguel Gamondi amesema kuwa hana haraka na straika wake Mghana Hafiz Konkoni kwani anaamini kuwa atampa anachotaka. Gamondi…
Yanga juzi walicheza mchezo wao wa pili Ligi Kuu Bara wakifanikiwa kichapa JKT Tanzania mabao 5-0. Kwa idadi hiyo kubwa ya magoli 5 unaweza kufikiri…
Kocha wa zamani wa Yanga, Nassredine Nabi amesema kuwa ameiangalia Yanga ya sasa chini ya Miguel Gamondi na kusema kuwa inauwezo mzuri wa kutwaa ubingwa…
Kocha wa Mkuu Yanga, Miguel Gamondi amesema siyo lengo lake kufunga mabao matano kila mchezo, lakini wachezaji wake wote wana njaa ya kufunga magoli na…
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini Tanzania, George Ambangile amesema kuwa kikosi cha Yanga Sc chini ya kocha wao, Miguel Gamondi ni hatari zaidi…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi tatu mfululizo walizozipata zimeongeza ufiti kwa mastaa wake huku akilia na mapumziko yaliyo mbele yao kwamba yanashusha…