Tag: gamondi
GAMONDI AFUNGUKA USHINDI NA BURUDANI KWA WAKATI MMOJA SIO POA
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa amewaandaa vya kutosha vijana wake kwa mbinu mbadala zitakazowaweka salama ikiwezekana kupata ushindi katika mchezo wao na...
KUELEKEA MECHI YA CAF NA WAALGERIA….MASTAA ‘WASUKWA’ KIULAYA ULAYA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi hataki masihara baada ya kuwapa mbinu mpya ya kufunga wachezaji wake wanapokuwa eneo la hatari la mpinzani.
Hatua hiyo...
YANGA IPOKAMBINI MASTAA TUMBO JOTO, GAMONDI ANENA HILI
Yanga ipo kambini ikiendelea kunoa makali kwa ajili ya mechi za kimataifa dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria na Al Ahly ya Misri, lakini...
GAMONDI AFUNGUKA MIPANGO YAKE KWENYE KUIFUA YANGA
KATIKA kuhakikisha wanafanikiwa na kushinda kila mechi, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kutokana na mfumo anaoutumia kila mchezaji anaweza kufunga mabao sio...
GAMONDI AMUA KUFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA
KOCHA Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameanza kuwafatilia CR Belouizdad ya Algeria kuona ubora wa wachezaji wake kwa ajili ya kukabiliana katika mchezo...
GAMONDI AWAGEUKIA HAWA JAMAA KAMA UTANI
Saa chache ikitoka kupata ushindi wa nane wa Ligi Kuu Bara msimu huu ugenini dhidi ya Coastal Union, Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amewaita...
GAMONDI AWATAJA MASTAA WAWILI YANGA
Nyota wa Yanga, Jesus Moloko na Clement Mzize wamemkosha kocha wao, Miguel Gamondi kwa kile walichokifanya kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
GAMONDI AWAPA MSTAA YANGA KIBARUA KINGINE
Mchora ramani za ushindi ndani ya kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amewapa majukumu mengine mastaa wake wakiongozwa na muunganiko wake matata wa PAM unaowajumuisha...
GAMONDI AFUNGUKA HALI WALIOPITIA KWA COASTAL UNION NI BALAA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel GamondiĀ ameweka wazi kuwa mechi dhidi ya Coastal Union ilikuwa ngumu tofauti na alivyokuwa akifikiria, lakini amefurahi kwa ushindi...
METACHA AREJEA KIKOSINI YANGA
Kipa namba mbili wa Yanga, Metacha Boniphace Mnata amerejea ndani ya kikosi hicho mara baada ya kukaa nje kwa takribani wiki tatu kufuatia tuhuma...