Tag: HABAR ZA MICHEZO
KOCHA COASTOAL UNION ASALENDA KWA YANGA…”WALITAKIWA KUTWAA UBINGWA AFRIKA
Kocha mkuu wa klabu ya Coastal Union David Ouma ameipa heshima klabu ya Yanga kuelekea mchezo wao wa leo wa Ligi kuu kandanda Tanzania...
KLABU HII BONGO YAFUNGIWA…MCHEZAJI ASHINDA KESI YA MADAI…TFF WAGEUKA MBOGO
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, Jean Didie Touya baada ya mchezaji...
HUZUNI KUTANDA CHAMAZI…GAMONDI AKIRI KUPAMBANA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU…AMEFUNGUKA HAYA
Hesabu za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania kwa Yanga zipo mikononi mwa Coastal Union Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi huku...
ZA NDANI KABISA…VIGOGO YANGA WAMPA MAISHA YA KIFAHARI PRINCE DUBE…ISHU NZIMA...
Mwanaspoti linajua vigogo walio karibu na Yanga wamempa maisha ya kifahari staa anayepambana kuvunja mkataba na Azam, Prince Dube lakini klabu imeingia msituni kwa...
MBADALA WA AUCHO WAPATIKANA YANGA…KUMBE KAGOMA ALIVUNJA MKATABA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Yanga wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao. baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji. Yusuph Kagoma kama mbadala mpya...
ZIMBWE JR AKUBALI KUPITIA NYAKATI NGUMU…KUMBE SIMBA WALICHUKUA MATAJI 5
Kutokana na ubora wa viungo waliopo Azam FC na Simba, huenda mechi ya fainali ya Kombe la Muungano ikaamuliwa na wachezaji wa nafasi hizo,...
BACCA AMKATAA MAMA YAKE…KUMBE ANALIPWA MAOKOTO YA KUMWAGA…BABA MZAZI AFUNGUKA
Kama ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad...
MO DEWJI AINGILIA KATI USAJILI SIMBA SC…SEHEMU ZA MABORESHO ZATAJWA…INONGA HATARINI
Baada ya kutokuwa na msimu mzuri wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuwa imeondolewa katika mashindano ya Kombe la FA, Mwekezaji wa Simba, Mohammed...
EDO KUMWEMBE AWACHANA SIMBA…ADAI SIMBA KUMDHARAU RAIS YANGA…AMEFUNGUKA HAYA
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Edo Kumwembe awechana klabu ya Simba akisema ni aibu kubwa kufurahia kufungwa bao chache na watani zao Yanga...
SIMBA WASITISHA MAZUNGUMZO YA MIKATABA…MASTAA HAWA HATARINI KUONDOKA…CHAMA ATAJWA
Kikosi cha Simba usiku wa jana kilikuwa uwanjani visiwani Zanzibar katika michuano ya Kombe la Ligi ya Muungano na kufanikiwa
kufuzu kwenye fainali ya michuano...