Tag: Habari za Michezo
HUYU HAMZA ANAIFANYA SIMBA IFAIDIKE KWA MTINDO HUU.
Sifa ya kwanza ya kumwita mchezaji timu ya Taifa ni kiwango bora ambacho anakuwa amekionyesha. Fomu ya Abdulrazack Hamza anastahili kuitwa timu ya Taifa.!
Kwa...
LEONEL ATEBA APANDISHA MZUKA…ANATAKA MAKOMBE SIMBA
STRAIKA mchana nyavu Leonel Ateba ameweka wazi kwamba msimu huu pale Msimbazi kuna kombe linatua na haitashangaza kwamba watalichukua kutoa wapi, ingawa kwa sasa...
SPIDER MAN CAMARA AKUBALI MABEKI WAKE
KIPA wa Simba, Moussa Camara amezungumzia ubora wa ukuta wa timu hiyo unaongozwa na Fondoh Che Malone na Abdulrazack Mohamed Hamza kama sehemu ya...
MOROCCO…STARS IPO KAMILI KUIVAA ETHIOPIA
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleimani 'Morocco' amesema, kikosi hicho kiko kamili kwa ajili ya michezo miwili...
TFF YAAMULIWA KULIPA MAMILIONI…KOSA LATAJWA NA MAHAKAMA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa...
SHINDA MAMILIONI UKIWA UMEPOA! SLOTI YA VENI VIDI VICI
Furahia Mamilioni ya kutosha ukicheza sloti ya Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza sloti ya Veni Vidi Vici!
Mchezo huu wa Sloti ni...
EXPANSE KASINO INAKUBADILISHIA MAISHA
Kaa karibu na Utajiri kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, shindano la Expanse Kasino linasaka washindi 40 ambao watanufaika kwa mazawadi kibao. Cha...
WASHINDI WOTE WA TUZO ZA TFF 2023/24
Usiku wa Tuzo za TFF ulikuwa ni Agosti Mosi, na wachezaji na wadau wengi wa soka walishinda tuzo zao, miongoni mwa wachezaji hao ambao...
CHIMBO JIPYA LA UTAJIRI…SIRI YA KUSHINDA KASINO
Sehemu pekee unayoweza kupata bonasi ya ukaribisho hadi 300% ni Meridianbet pekee, jisajili upate bonasi hiyo kucheza michezo ya Expanse na kubashiri michezo mingi.
Pia...
HATMA YA TAIFA STARS AFCON KUJULIKANA LEO
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inaweza kupangwa katika kundi gumu au mchekea kwenye droo itakayochezeshwa leo Afrika Kusini ya upangaji wa makundi...