Tag: Habari za Michezo
TANZIA: KIPA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA…KUMBE ALIKUWA AFISA MKUBWA TRA
Aliyekuwa kipa wa Cosmopolitan, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania mwaka 1967, Mohamed Mfaume 'Difu' (katikati) amefariki dunia Ijumaa ya Aprili 14 Jijini Dar...
CAF YATUMBUA MAJIPU…WAAMUZI HAWA WANNE WASIMAMISHWA KAZI
Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), imewasimamisha Waamuzi wanne wa Botswana waliochezesha mchezo wa mwisho wa kufuzu AFCON 2023 kati ya...
KUMBUKIZI HIZI ZA DABI YA WATANI WA JADI…ZAIBEBA SIMBA WAZI WAZI
Simba na Yanga zinakutana kwa mara ya 110 kwenye Ligi Kuu wikiendi hii tangu Jumatatu ya Juni 7, 1965.
Yanga ilishinda bao 1-0 kwenye mechi...
KOCHA YANGA “SIMBA TUMEWAFUNGA TOKA MAZOEZINI…TUNATAKA POINTI 3 TU…AMEZUNGUMZA HAYA
Tunataka pointi tatu. Kocha msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze
amesema hakuna lugha tofauti na hiyo kambini kwao. Yanga itakuwa ugenini dhidi ya Simba leo jioni,...
KWA MKAPA KUMEDODA…MECHI SIMBA NA YANGA MASHABIKI HAKUNA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Zikiwa zimebaki saa Chache kuanza kwa mtanange wa Simba na Yanga hali inaonekana kupoa nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tofauti na ilivyozoeleka kwenye...
HIZI HAPA MECHI 10 KALI ZA SIMBA NA YANGA…TV YAGEUKA KUWA...
Presha ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga imeanza kupanda na kushuka kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo kongwe.
Timu hizo zenye...
JE NABI ATAFUA DAFU MBELE YA MBRAZIL SIMBA…UKWELI HASWAA HUU HAPA
Mechi inayobeba chapa ya ligi ya Tanzania bara, zinakutana timu mbili ambazo zimekuwa na kiwango kizuri kinachoambatana na matokeo mazuri katika mechi zao za...
AZIZ KI AWAPASUA KICHWA YANGA…WASHINDWA KUMTABIRI…SIMBA WASHANGAZWA
Stephane Aziz Kl ni mchezaji asiyetabirika kwa kweli na anatuchanganya sana.
Kuna wakati huwa hachezi vizuri na hadi anawapa hofu waliomsajili kujihisi kama wamepigwa kwa...
HUYU HAPA KIUNGO HATARI WA SIMBA…MFAHAMU KIUNDANI ZAIDI…ATAKAYE WAUA YANGA
KANOUT playmaker, Sadio ni box to box midfielder, ni mzuri kama utahitaji abadilike kutoka na vipindi ndani ya uwanja, acheze baina ya maboksi mawili,...
NABI AMPA WOSIA HUU AZIZ KI…AMCHANA MAKAVU LIVE…AMEZUNGUMZA HAYA
HAYA ndio maajabu ya Stephane Aziz KI. Wakati ambao wadau na mashabiki wa Yanga wamekuwa wakiona kiwango chake kimeshuka kwa vipindi tofauti, nyota huyo...