Tag: Habari za Michezo
KIPA ORLANDO AIGOPA SIMBA…AWATONYA HAYA WYDAD CASABLANCA
Kipa wa Orlando Pirates Richard Ofori amewapa tahadhari Wydad Casablanca na kuwaambia wawe makini wanapotua kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.
Wydad ambao...
HATIMAYE YANGA WAFUNGUKA…ISHU YA FEISAL SALUM “FEI TOTO”…WAMEZUNGUMZA HAYA
Kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' leo Aprili 12 alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kujua hatma ya barua...
KOCHA SIMBA SC AWAPUUZA WYDAD CA…”NAWAJUA HAWASUMBUI…AMEZUNGUMZA HAYA
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil Robert Oliveira 'Robertinho' amefunguka kuwa licha ya kuwajua wapinzani wake katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
HAJI MANARA AUMBUKA…NI BAADA YA KUMGOMBANISHA RAISI YANGA NA MTANGAZAJI
Taarifa zisizothibitishwa zimeenea mitandaoni kuhusu Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini kutoka Kituo cha televisheni cha Channel Ten, Juma Ayo kuwa alimuomba pesa Rais...
KIBADENI AWACHANA MASTAA WAZAWA SIMBA…”HAMFUNGI MNAJUA KUSHANGILIA TU
Mara ya mwisho kwa wachezaji wazawa wa Simba kufunga kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara ni Desemba 30, mwaka jana kwenye ushindi wa mabao...
VITA HII MPYA YAIBUKA YANGA…BACCA AMPASUA KICHWA JOB…ISHU NZIMA IKO HIVI
YANGA inaendelea kupasua anga lakini wakati mashabiki wao wakichekelea mafanikio ya ukuta wao ulioruhusu mabao machache pekee kuna vita mpya imeanzishwa kwenye ukuta wao...
MORISSON AGONGELEA MSUMALI WA MOTO YANGA…AZIZ KI AWAJIBU KIROHO MBAYA
Wananchi Yanga SC wameendelea kujikita kileleni baada ya kuwachapa Kagera Sugar bao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Mchezo huo ambao Yanga walianza...
KELVIN YONDANI AMPIGIA SALUTI MSHAMBULIAJI YANGA…AMEZUNGUMZA HAYA
BAADA ya kupata nafasi ya kucheza mara mbili na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, nahodha wa zamani wa timu hiyo anayekipiga kwa sasa Geita...
KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA…HAWA HAPA MAREFA WA MCHEZO HUO
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi ikianza kupanda kabla ya timu hizo kuvaana Jumapili ya wiki hii, SOKA LA BONGO limenasa faili...
AZIZ KI AMEFELI YANGA…TAKWIMU HIZI ZINAONYESHA MAUZA UZA YAKE A-Z
Kumeibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa soka wakidai kuwa kiwango cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, raia wa...