Tag: habari za yanga
KUHUSU INSHU YA KAGOMA YANGA ILIKOSEA HAPA
Hakuna Ubishi kwamba Yusuph Kagoma alikua na mkataba na timu yake ya Singida Fountain Gate. Hivyo ilibidi ufanyike uhamisho kwa kumnunua kwenda timu nyingine...
SI BONGO TU…DUBE, PACOME WAMTISHA KOCHA CBE
Wakati Yanga ipo tayari katika ardhi ya Ethiopia kwa mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha...
KUMBE JEURI YA SIMBA IKO HAPA
Wachezaji wa Simba wanafahamu hesabu zilizopo kwao hivi sasa ni kuanza vizuri ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya kisha kumaliza kazi nyumbani...
FADLU NA GAMONDI MBINU ZAO ZIKO HIVI
Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, pamoja na mabenchi yao ya ufundi, wanajipanga kwa umakini mkubwa kuhakikisha wanatimiza matarajio ya...
WACHEZAJI SIMBA WAAHIDI USHINDI MECHI NA AL AHLI
WAKATI kikosi cha Simba kikiwasili jana jijini Tripoli Libya kwa ajili ya mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya...
PRIVADINHO AJIFUNGA MABOMU SAKATA LA KAGOMA YANGA
"Nimemsikiliza vyema mwanasheria wa Fountain Gate. Kimsingi nimependa sana jamaa amechagua kuwa mwaminifu."
"Kimsingi amethibitisha kuwa mkataba baina ya Yanga na Fountain Gate upo tofauti...
SIMU ZIMEANZA KUITA KWA JUMA MGUNDA…AWEKA REKODI
Kwa sasa simu zinaita tu kwa kocha, Juma Mgunda, ambaye alihudumu katika klabu ya Simba kwa miaka miwili sawa na siku 732, kuanzia Septemba...
YANGA WALIVALIA NJUGA SAKATA LA YUSUPH KAGOMA…FOUNTAIN GATES WAWAKATAA KWEUPE
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amethibitisha kuwa timu yao ilikamilisha mchakato wa kumsajili Yusuph Kagoma mwezi Machi 2024 kutoka klabu ya Fountain...
YANGA YATUA ADDIS ABABA MUDA HUU
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga SC wamewasili salama mjini Addis Ababa tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza...
MECHI YA YANGA NA CBE KUPIGWA ABEBE BIKILA
Mchezo wa hatua ya pili na ya Mwisho ya Mtoano Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Comercial Bank of Ethiopia (CBE FC) dhidi ya...