Tag: habari za yanga
HALMASHAURI KUJENGA VIWANJA VYAO…SIMBA NA YANGA VICHEKO TU
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inafikiria kuzielekeza Mamlaka bajeti zao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa maeneo...
GAMONDI AVUNJA MAPUMZIKO YANGA…CBE WANA KAZI YA KUFANYA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameamua kutovunja kambi, badala yake ameendelea na mazoezi na kikosi kilichobaki, baada ya wachezaji 14 wa timu hiyo...
MOURINHO ARUDI YANGA…MAISHA YAKE NJE YA SOKA
Siku naongea na Edna Lema Mourinho wa Bongo mara ya kwanza sikujua kama anaweza kwenda Kuishi na kufundisha team ya wanaume tena mkoani Mara.
Alikubali...
FEI TOTO ATUPA JIWE…ANATAKA KUCHEZA KIMATAIFA…MAISHA NDANI YA AZAM
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema licha ya kuondolewa mapema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu lakini...
TAIFA STARS KAMILI KUIVAA ETHIOPIA KUFUZU AFCON
BENCHI la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars limeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Ethiopia...
KAMWE NA AHMED ALLY WAKUTANA TENA…WAUNGANA KWENYE JAMBO LA TAIFA
Maofisa habari wa timu za Yanga, Simba na Azam FC wamewaita mashabiki wajitokeze kwa wingi katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya...
EDO KUMWEMBE AMNG’ATA SIKIO DENIS NKANE…AMSAKIZIA NGASSA
BAADA ya kijana mdogo kuonekanakutopata nafasi ya kucheza katika mitaa ya Jangwani, Denis Nkane kijana mdogo mwenye kipaji kikubwa huenda ndoto zake za kusaka...
WANAYANGA MJIANDAE KWA SAPRIZI…UPEPO KUBADILIKA
KAMA wewe ni shabiki wa Yanga ambaye popote ilipo timu hiyo nawe unakuwepo, basi anza kujipanga mapema kwani kuna mabadiliko ambayo yataifanya klabu hiyo...
TAIFA STARS TAYARI KUIVAA ETHIOPIA
KAIMU Kocha Mkuu wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema kuwa Wachezaji wake wanaendelea kufanya maandalizi sahihi kuelekea kwenye mechi dhidi ya Ethiopia kuwania kufuzu...
KINDA LA YANGA MAMBO FRESH UGANDA
SIKU chache baada ya kutua na kutambulishwa na klabu ya Wakiso Giants inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda, beki kinda za zamani wa timu ya...