Tag: habari za yanga
FREDDY ARUDI BONGO…ATAJA KILICHOMPELEKA YANGA
BAADA ya kuondoka Simba, mshambuliaji Freddy Kouablan amerejea nchini kimya kimya, lakini akashtua kujifua na mastaa wa Yanga.
Freddy ambaye alitua Simba dirisha dogo msimu...
NDIMBO…TUMENOGEWA KUSHIRIKI AFCON
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema timu yake ya Taifa Stars sasa imekuwa na uchu wa kushiriki kila fainali za Kombe la...
MASTAA 14 WAMPASUA KICHWA GAMONDI
LIGI Kuu Bara imesimama kwa wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa mechi za kimataifa za timu za taifa, huku kocha mkuu wa Yanga,...
JOB AJIPAKULIA MINYAMA PALE YANGA.
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Dickson Job amesema kuwa ameandika rekodi yake nyingine mpya msimu wa 2024/25 kwa kutoa pasi ya...
MAXI NZENGELI ATAMBA NA REKODI YA MAYELE
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Nzengeli, amesema amefurahia kufunga bao la kwanza la msimu kwa timu yake pamoja na kufikia rekodi iliyowahi kuwekwa na...
MOROCCO…STARS IPO KAMILI KUIVAA ETHIOPIA
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleimani 'Morocco' amesema, kikosi hicho kiko kamili kwa ajili ya michezo miwili...
GAMONDI…HATUKUCHEZA VIZURI…LAZIMA WACHEZAJI KUTUMIA KILA NAFASI
LICHA ya kuanza vyema kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuvuna pointi tatu muhimu dhidi ya wenyeji Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa...
MKASA MZIMA HADI KIBAOKO YA YANGA NA SIMBA…ALIVYOFUKUZWA
Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph...
HAIKUWA RAHISI YANGA KUPATA ALAMA TATU KAGERA.
KLABU ya Yanga imeweka wazi kuwa haikuwa rahisi kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza ndani ya msimu wa...
PACOME AWAVURUGA WASANII BONGO MOVIE
MWIGIZAJI wa Bongo Movie anayetamba kwenye tamthilia ya Jua Kali, Wanswekula Zacharia 'Dora' humwambii kitu kuhusiana na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua anayemkosha...