Tag: habari za yanga
FEI TOTO AGOMEA MKATABA MPYA…ANAITAKA SIMBA
KLABU ya Azam FC jana ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu kwa msimu wa 2024-2025 dhidi ya JKT Tanzania, lakini kabla...
BOKA NA BALEKE WAONGEZA MZUKA JANGWANI
YANGA leo jioni itakuwa uwanjani kuvaana na Kagera Sugar, huku kocha wa kikosi hicho akichekelea kurejea uwanjani kwa mshambuliaji, Jean Baleke pamoja na beki...
SIMBA IMESAJILI VIZURI…SHIDA IKO HAPA
SIMBA SC kwa miaka karibu minne iliyopita walikuwa bora sana kwenye eneo la mwisho kwa kutazama hata idadi ya magoli waliyifunga kwa msimu husika,...
MCHANGO WA SIMBA TIMU YA TAIFA UMESHUKA
Kocha wa Taifa Stars, Hemed Morocco ametaja kikosi kitakachojiandaa na mechi za kufuzu Afcon.
Katika orodha ya majina Klabu ya Yanga imetoa wachezaji saba,,Azam wachezaji...
AHOUA AANZA KAZI SIMBA…MTAFURAHI NA SHOW
BAADA ya kuonesha makali na moto wake kwenye mchezo wa pili wa Ligi kuu ya NBC, Jean Charles Ahoua alifunga goli moja na kuhusika...
AHMED ALLY ATUPA DONGO KWA AZAM, YANGA NA COASTAL
Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally licha ya kufurahishwa na matokeo ya mchezo wa jana dhidi ya Fountain Gate alieleza furaha...
YANGA NA AZAM MSHINDWE NYIE TU LEO.
Timu tatu za Tanzania leo zitakuwa katika viwanja tofauti barani Afrika zikicheza mechi za marudiano za raundi ya kwanza ya mashindano ya klabu Afrika...
MZIZE ASAINI MIWILI YANGA…KAMWE AFICHUA
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amesema Klabu hiyo imemuongezea mkataba mchezaji wao, Clement Mzize wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa...
RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA SIMBA NA YANGA
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amefanya mazungumzo na wadau na wawekezaji wakubwa hapa nchini kwa ajili ya kuzidhamini klabu za Simba na Yanga ili...
KISA GSM YANGA BODI YA LIGI KUSIKILIZA MALALAMIKO YA UDHAMINI
BODI ya Ligi imesema kuwa inakaribisha maoni ya wadau wote ambao wanaona hakuna haja ya mtu, kampuni au taasisi kudhamini zaidi ya timu moja...