Tag: habari za yanga
YANGA YAPANIA MAKUBWA KIMATAIFA…ALI KAMWE AELEZA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji ushindi mkubwa dhidi ya VitalβO ili kutuma salamu...
KAULI YA YACOUBA SONGNE BAADA YA KUIKOSA SIMBA
BAADA ya kukaa jukwaani katika mchezo uliopita dhidi ya Simba, Aliyekuwa nyota wa zamani wa Yanga na sasa Tabora United, Yacouba Songne amesema alikuwa...
TFF YAAMULIWA KULIPA MAMILIONI…KOSA LATAJWA NA MAHAKAMA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefikia makubaliano nje ya mahakama katika shauri la madai lililokuwa limefunguliwa na kampuni ya Romario Sports 2010 Limited, kwa...
PRINCE DUBE APEWA MASHARTI BINAFSI YANGA
LICHA ya Prince Dube kuendeleza makali yake ya kucheka na nyavu za wapinzani, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amempa sharti ambalo anaamini...
BAO LA CHAMA LAWEKA REKODI 3 CAF
Bao moja la Clatous Chama katika ushindi wa mabao 4-0 ambao Yanga iliupata dhidi ya Vital'O ya Burundi, Jumamosi Agosti 17, 2024 katika Ligi...
YANGA KUIKABILI VITA’O NA TAHADHARI HII
KLABU ya Yanga imeweka wazi kuwa utawakabili wapinzani wao VitalβO Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa tahadhari...
GAMONDI AMTAJA CHAMA…ANA KAZI NAE
KOCHA MIGUEL Gamondi amesifu kiwango kilichoonyeshwa na kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama aliyeanza katika kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza tangu...
GAMONDI…HATURIDHIKI NA MATOKEO MADOGO…
Yanga ilipata ushindi MNONO wa mabao 0-4 kwenye Uwanja wa Azam Complex, ambao VitalβO iliutumia kama wa nyumbani, ikishuhudiwa Prince Dube, Clatous Chama, Clement...
YANGA HII UNAIFUNGAJEE…NJIA NYEUPE HATUA INAYOFUATA
YANGA imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi mabao 4-0 dhidi ya Vital'O ya...
DUBE AWEKA REKODI CAF…CHAMA GARI LIMEWAKA…YANGA NI 4G
KLABU ya Yanga imeshinda goli 0-4 dhidi ya Vital'O kwenye mchezo wa raundi ya kwanza, wachezaji waliofana vizuri zaidi ni Prince Dube na Clatous...