Tag: habari za yanga
BREAKING NEWS…SIMBA NA YANGA KUPIGWA OKT 19…BODI YA LIGI YATANGAZA
HATIMAYE Bodi ya Ligi wametangaza Ratiba ya Msimu wa Ligi Kuu 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwa mchezo mmoja pekee, huku...
SIMBA WAMBIPU MANULA…CAMARA ACHUKUA KILA KITU
MABOSI wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba ni kama jana Alhamisi ilibipu juu ya namba 28 ya kipa Aishi Manula baada ya...
KUNA MAXI NZENGELI MMOJA TU YANGA…SI PACOME, CHAMA WALA NANI
WATAKUJA Wote na watasifiwa sana lakini kuna huyu mwamba mmoja atabaki dunia yake, Chama amesifiwa sana, kuna Dube lakini Maxi Nzengeli anastahili pongezi na...
AHMED ALLY ATAMPONZA STEVE MUKWALA…TAKWIMU ZINAMBEBA
Usajili wa mshambuliaji aliyefanya vizuri sana kule Ghana katika Ligi Kuu ya nchi hiyo, Steven Mukwala ulishereheshwa vilivyo na Meneja Habari na Mawasiliano wa...
WAZIRI CHUMI KUHUSU YANGA NA SIMBA…AWACHAMBUA WOTE
BAADA ya mchezo wa Kariakoo Dabi kutamatika na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje...
NYIE HAMUOGOPI? YANGA HII UNAIFUNGAJE…
YANGA hii unaifungaje? Mashabiki wametuma tambo kimtindo kwa watani zao wa jadi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua...
KILICHOIUA SIMBA NI HICHI…SIMBA WATUPA LAWAMA KWA REFA
YANGA wameendeleza ubabe wao kwa Simba baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii uliochezwa Uwanja...
JB, NANDY, BILL NASS WATAMBIA SIMBA NA YANGA LEO
Kama zilivyo mechi zote za Simba na Yanga, tambo, mbwembwe na majigambo yamekuwa wakiendelea kwa mashabiki wa klabu hizo wakiwamo wasanii mbalimbali wa sanaa...
ππππ ππ πππππππ ππππππππππ ππ πππ πππ ππππ.
Kuelekea Msimu ujao Wa mashindano ya CAF champions league Pamoja na CAF Confederation League Kamati ya Mashindano ya CAF Iko kwenye majadiliano juu ya...
FERNANDES MAVAMBO APEWA MZIGO MKUBWA SIMBA
Debora Fernandes Mavambo unaweza kusema amekabidhiwa mikoba mizitoΒ kutokana na uzi atakaotumia kuwa na namba iliyoacha rekodi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha...