Tag: habari za yanga
SUSU WA SIMBA NA YANGA AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA TIMU HIZO
MWANAMITINDO Susu Kollexion, anayefahamika kwa jina lake Subira Wahure ambaye mara nyingi huwa anawashangaza watu baada ya kuonekana akiwa amevalia jezi za Simba na...
HATIMAYE BENCHIKA AIVULIA KOFIA SIMBA MPYA…AITABIRIA MAKUBWA
ALIYEKUWA Kocha wa Simba msimu uliopita, Abdelhak Benchikha amekifuatilia kikosi kipya cha timu hiyo ya Msimbazi kisha kutoa neno, akiitabiria kufanya maajabu msimu wa...
SIMBA BABA LAO NGAO YA JAMII…REKODI ZAKE WEEE USIPIME
Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga unatarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na historia na rekodi za timu hizi.
Rekodi zinaonyesha,...
NI DABI YA MAKIPA…NANI KUIPELEKA SIMBA/YANGA FAINALI?
MECHI ya msimu huu ya Ngao ya Jamii haswa Kariakoo Dabi ina msisimko wake kwani timu hizo zinakutana zikiwa na sura mpya, lakini cha...
REKODI YA DABI ZA MWEZI AGOSTI…SIMBA NA YANGA
Kariakoo Dabi Simba na Yanga hii ni mechi ya 17 kwa vigogo hivyo kukutana ndani ya Agosti katika mechi za mashindano yote, huku rekodi...
GAMONDI KUHUSU SIMBA NA YANGA….HAKUNA UNDERDOG
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa sio jambo la msingi sana kwake kuwajua wachezaji wapya wa Simba Sc, badala yake...
KIBU DENIS APEWA PROGRAM MAALUM…KESHO 50-50 VS YANGA
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema mshambuliaji wa timu hiyo Kibu Denis bado hajafikia katika ubora anaouhitaji, hivyo amemwandalia programu maalum ya mazoezi.
Kibu...
GAMONDI ACHIMBA MKWARA…HATUIJUI SIMBA
Katika mkutano wa waandishi wa habari ambao ulifanyika leo, Jumatano kwenye Uwanja wa Mkapa, Kocha Mkuu wa Yanga, Gamondi alikumbushiwa matokeo ya Ngao ya...
AZIZ KI ATAJA KILICHOKWAMKISHA DILI LA KAIZER CHIEF’S
KIUNGO wa Yanga na MVP wa Ligi Kuu Bongo Msimu uliopita AZIZ KI amefunguka Kwa mara ya kwanza Sababu za yeye kubaki Yanga na...
AZIM DEWJI AWATAHADHARISHA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA
Aim Dewji ametoa tahadhari kwa mashabiki wa Simba na Yanga kuacha kwenda na matokeo yao mfukoni, kwani mechi za Dabi huwa hazitabariki.
Akizungumza jijini Dar...