Tag: habari za yanga
FADLU KUELEKEA MECHI YA YANGA…ANATAKA USHINDI TU
KOCHA Mkuu wa Simba Fadlu Davids amezungumzia mchezo wa kesho dhidi ya Yanga, na kusema kwamba hauchukulii mchezo huo kawaida bali anhitaji ushindi tu.
Fadlu...
BODI YA LIGI YAIJIBU SIMBA KUHUSU UWANJA.
BODI ya Ligi imeweka wazi kwamba kuna maboresho kwenye Kanuni za ligi msimu wa 2024-25 ambapo zinaruhusu timu za Ligi kuu ikiwemo Simba na...
SIMBA NA YANGA WAONYWA KUACHA USHIRIKINA.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema katika kanuni mpya za ligi faini ya kuhusu ushirikina imeongezeka pia lakini wataendelea kutoa Elimu...
SIMBA, YANGA ZAWEKEANA MTEGO MECHI YA KESHO
KESHO KITAELEWEKA, Ni Simba na Yanga fainali ya Ngao ya Jamii katika dimba la Mkapa kitawaka. Simba amesajili wachezaji kibao akiwemo Debora Fernandez Mavambo,...
MSHERY NA KHOMEIN WAJIPANGE SANA KWA DIARRA
WALINDA MLANGO wa Yanga, Abuutwalib Mshery na Khomein Abubakar wana kazi kubwa ya kufanya kumng'oa kipa namba moja wa timu hiyo, Djigui Diarra ambaye...
FADLU AJIPANGA KIVINGINE KUIKABILI YANGA…AWAPA WACHEZAJI MAAGIZO MAALUM
Wakati joto la dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda, kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameandaa sapraizi katika kikosi chake kabla ya kuivaa Yanga Alhamisi,...
JOSHUA MUTALE AWAITA MASHABIKI TAREHE 8…AAHIDI KUWAPA FURAHA
Baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya APR ya Rwanda, katika Tamasha la Simba Day, winga mchachari wa timu hiyo, Mzambia, Joshua...
PILATO WA SIMBA NA YANGA NI ELLY SASII
Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba mnamo Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa.
Mwamuzi...
BODI YA LIGI YATOA TAMKO…AHMED ALLY NA WENZAKE KUACHA UCOMEDY
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku...
PACOME KUELEKEA DABI ATOA KAULI HII YA KIBABE
Kuelekea katika mechi ya dabi itakayochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua amefunguka kuhusu mwanzo wake mpya.
Kocha wa kikosi hicho,...