Tag: habari za yanga
SIMBA NA YANGA KILA MWAKA MATATIZO YALE YALE…KUINGIA UWANJANI CHANGAMOTO…MNAKWAMA...
Miaka ya hivi karibuni tunashindana kwa kila kitu. Zama za mitandao ya kijamii, wikiendi hii tulikuwa tunashindana tena katika matamasha mawili ya klabu pacha...
MAINGIZO MAPYA SIMBA NA YANGA…UBORA WAO
Katika maboresho ambayo Simba na Yanga imefanya katika dirisha hili la usajili, wapo wachezaji ambao tayari wameanza kuonyesha makali yao na huenda wakaongeza makali...
DABI YA KASI AGOSTI 8…SIMBA NA YANGA KITAELEWEKA
Huenda Alhamisi tukashuhudia Dabi yenye kasi zaidi kulingana na namna ambavyo vikosi vya timu zote mbili vimekuwa vikicheza.
Katika mchezo wa kirafiki dhidi ya APR,...
MVP AZIZ KI ATUMA SALAM SIMBA…AGOSTI 8 KWA MKAPA
MOST Valuable Player (MVP) wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Stephenie Aziz Ki ameweka wazi kuwa kila baada ya mchezo mmoja kinachofuata ni...
SIMBA MPYA YAMSHTUA KOCHA WA YANGA
JESHI LA SIMBA mpya ya msimu ujao wa 2024-2025 imeonekana kumshtua Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya kutamka kwamba wapinzani wake hao...
KOCHA SIMBA ATUMA SALAM YANGA…FADLU AIREJESHA HESHIMA YA MNYAMA
UKISEMA ametuma salam kwa Yanga utakuwa sahihi baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kusema anaamini kikosi chake kitapata mafanikio makubwa msimu ujao...
MANULA KUIPELEKA SIMBA MAHAKAMANI…JEMEDARI AELEZA KINAGA UBAGA
BAADA ya Simba kutotoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa Aishi Manula kwenye kikosi msimu wa 2024/25 Meneja wa mchezaji huyo Jemedari Said ameweka wazi kuwa...
MUDATHIR AANZA KUPIGA SIMU…NYIE HAMUOGOPI?
MZEE WA KUPIGA SIMU MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake ni ule ule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka...
HIVI NDIVYO AZIZ KI ALIVYONOGESHA…KILELE CHA WIKI YA WANANCHI.
MCHEZO wa kirafiki kati ya Yanga na Red Arrows ya Zambia, ulimalizika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kwa wenyeji kushinda...
SASA IMEISHAA…SIMBA NA YANGA WAANZA KUTAMBIANA KUELEKEA AGOSTI 8.
UKISIKIA funga kazi, basi ilikuwa jana wakati Yanga ilipohitimisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, saa 24 tu tangu Simba kufanya tamasha la Simba Day...