Tag: habari za yanga
NABI KIBARUA KIZITO KAIZER…YANGA HATIANI KUMFUKUZISHA KAZI
Muda Mfupi tu baada ya kupokea kipigo cha Magoli 4-0 kutoka kwa klabu ya Yanga , Tayari Kimenuka huko Afrika Kusini kwa mashabiki wa...
GAMONDI ATOA KAULI NZITO…YANGA YAJIPANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amebainisha kuwa uwepo wao Afrika Kusini una faida kubwa kutokana na kucheza mechi za ushindani ambazo ni muhimu...
YUSUF KAGOMA NDOTO YA UDAKTARI HADI KUCHEZA MPIRA
YUSUF Kagoma mpenzi wa jezi namba 21, amefunguka na kueleza kuwa alikuwa na wakati mgumu katika kufanya maamuzi, ya kujiunga na Simba kwani alikuwa...
YANGA KUTUA LEO ALFAJIRI NA KOMBE
BAADA ya kutwaa taji la Toyota Cup Afrika Kusini Mabingwa mara 30 wa Ligi Kuu ya Tanzania bara Yanga kinatarajia kuwasili alfajiri ya kesho.
Yanga...
SABABU YA YANGA KUSHINDA 4-0 SAUZI NI HII.
USHINDI MNONO wa mabao 4-0 waliopata Yanga vs Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini unawapa taji la kwanza la Toyota Cup 2024 huku wakiweka wazi...
YANGA YAPELEKA MWINGINE AZAM…MWENYEWE AFUNGUKA
KINDA jipya la Azam FC raia wa Mali, Cheickna Diakite limeweka wazi kwamba huenda mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ulioikutanisha timu aliyokuwa akiichezea...
KINZUMBI MCHEZAJI WA RADA ZA YANGA ATIBUA HUKO
YULE winga Phillipe Kinzumbi amekuwa akiwaniwa na Yanga kabla ya dili kukwama, ameibua mapya kule DR Congo akikaribia kuziingiza katika mgogoro Raja Athletic ya...
MANARA AMFUKUZISHA KAZI ALI KAMWE YANGA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe ametangaza kuachia nafasi hiyo huku akisema muda wake umemalizika.
Kamwe aliyehudumu katika nafasi hiyo kwa miaka...
YANGA KUCHEZA NA RED ARROWS…WIKI YA WANANCHI
BAADA YA YANGA KUZINDUA jezi mpya za msimu ujao, zilizogeuka gumzo ikiwa ni siku chache tangu watani wao, Simba kuzindua uzi wao katika hifadhi...
YACOUBA ARUDI TENA TANZANIA…AAHIDI MAKUBWA
NYOTA wa zamani wa Yanga na Ihefu (sasa Singida Black Stars), Yacouba Songne amerejea Bongo akisaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Tabora United inayoshiriki...