Tag: habari za yanga
DIARRA AFICHUA SIRI YA YANGA…AMTAJA AUCHO
Mlinda Mlango wa Yanga, Djigui Diarra "Screen Protector" amesema kitendo cha uongozi wa timu hiyo kuendelea na ukuta wao uliofanya vizuri misimu mitatu mfululizo...
VAR KUANZA KAZI MECHI YA SIMBA NA YANGA
Kitaeleweka ni Ubaya Ubwela au Nyie Hamuogopi? Ikiwa zimebaki siku 11 tu kabla ya Simba na Yanga kucheza mechi ya Kariakoo Dabi kwenye Ngao...
NABI & GAMONDI KUONESHANA UBABE LEO SAUZI
KLABU ya Yanga watacheza leo jioni dhidi ya wenyeji wao Kaizer Chief kwenye Uwanja wa Bloemfontein nchini Afrika Kusini, katika mechi ya Kombe la...
MASTAA WALIOSEPA WAKARUDI BONGO…SIMBA NA YANGA USIPIME
UTAMU wa Ligi kuu ya NBC unazidi kuongeza na sasa ni miongoni mwa Ligi 6 bora za Afrika, hali hii inawafanya wachezaji wengi kukimbilia...
AZIZ KI NA PRINCE DUBE WAAHIDI MAKUBWA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Prince Dube wameahidi kutoa uwezo wao wote kuisaidia timu hiyo kutetea...
PACOME KUIMALIZA KAIZER CHIEF…YANGA VS KAIZER KESHO
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kupewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini Afrika Kusini, taarifa zikufikie...
YANGA YAJIPANGA KUIPASUA KAIZER CHIEF…GAMONDI ATOA NENO
MABINGWA Mara 30 wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/24 Yanga wapo tayari kuwakabili Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa Toyota...
FADLU BADO ANALISUKA JESHI LA SIMBA…MSIKIE MOGELLA.
Licha ya kupiga tizi la maana ni kwamba hadi sasa Kocha wa Simba Fadlu Davids bado hajakipata kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Hadi sasa...
AHMED ALLY…UBAYA UBWELA HADI AGOSTI 8..SIMBA NA YANGA
BAADA ya Kutambulisha jezi mpya za Ubaya Ubwela wa Simba uliozinduliwa Julai 24 ukizidi kuwa gumzo kila kona kutokana na ubunifu wake pamoja na...
AUCHO ATUPO DONGO…KISA TUZO ZA TFF
Baada ya kukosekana katika kinyang’anyiro cha Kiungo Bora, kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho ni kama ametema nyongo kwa kuandika ujumbe katika ukurasa wake.
Shirikisho...