Tag: habari za yanga
KIPINDI CHA KWANZA SIMBA WANASHINDANA KUKOSA MAGOLI.
Ni kama tu Simba kule kwenye eneo la mbele wanashindana kukosa nafasi za kufunga, Ateba nafasi tatu zote kashindwa kufunga, kwa aina ya "profile"...
HAJI MANARA KUHUSU KUMSHAURI FEISAL KUCHEZEA SIMBA NA SIO YANGA
Haji Manara ameoneshwa kuchukizwa na taarifa iliyokuwa inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimhusisha yeye kuzungumza na aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga na sasa ana...
KICHUYA: LILE BAO KONA SIO BORA KWANGU
Kichuya ni jina kubwa kwenye anga ya michezo nchini kutokana na winga Shiza Ramadhan Kichuya ambaye kwasasa anakipiga JKT Tanzania kutambulika zaidi kwa jina...
KOCHA WA YANGA AJIUNGA NA LUPOPO
KOCHA aliyewahi kuifundisha Yanga msimu 2020, Luc Eymael ametambulishwa kwenye kikosi cha FC Lupopo ya DRC Congo anakochezea mtanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja.
Lupopo hivi karibuni...
SIMBA KUIKABILI DODOMA JIJI KWA HESABU NZITO LEO.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji wataukabili kwa hesabu kubwa ya kupata pointi...
GAMONDI AMALIZA UTATA… SIMCHUKII BALEKE
Kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amemaliza utata kwa kutoa sababu zinazomfanya mshambuliaji mpya, Jean Baleke aliyeibua maswali kwa mashabiki na wapenzi wa klabu...
YANGA YATUMA SALAM KWA KINO BOYS
UONGOZI wa Yanga umewaingiza kwenye mtego wapinzani wao KMC kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kwa kuwaambia...
CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO
Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika CAF, Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa...
KAZI IMEANZA… GAMONDI AWAITA CHEMBA DUBE NA MZIZE
Yanga ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara mbilimbili...
HUYU ATEBA AWAFIKIRISHA WAPINZANI… MECHI 4 BAO 3
Leonel Ateba ni mshambuliaji mzuri, ndani ya mechi chache ameonesha kiwango murua sana na kuisaidia timu yake kwenye upatikanaji wa matokeo mazuri.
Kwenye mechi 4...