Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

MANARA AFICHUA ALIYENYUMA YA MAGOMA…AELEZA KILA KITU

0
Sakata la Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Juma Magoma kulishitaki Baraza la Wadhamini wa klabu hiyo akidai kuwa katiba inayotumika kwa sasa si halali...

MAMELODI SUNDOWN WAINGILIA DILI LA MCHEZAJI WA SIMBA

0
SIMBA SC ni moja kati ya Vilabu vilivyopiga hodi mitaa ya Chamanzi kuulizia uwezekana wa kuipata saini ya Kiungo wao Feisal Salum "Fei Toto". Mnyama...

ALI  KAMWE ATOA KAULI  TATA KWA SIMBA…HALI IMEBADILIKA MSIMBAZI

0
Ali Kamwe Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Agosti 8 wataitumia 'kushona' midomo ya wale wanaoamini kuna timu zimekaribia daraja la Yanga...

SAKATA LA YANGA LAMFIKIA WAZIRI NDUMBARO…ATETA JAMBO NA INJINIA HERSI.

0
Baada ya mabosi wa Yanga kutoa tamko juu ya hukumu ya kesi iliyofunguliwa na wanachama wa klabu hiyo kulikataa Baraza la Wadhamini na kuweka...

UKWELI KUHUSU SUALA LA JEAN BALEKE YANGA

0
Kumekuwa na maswali mengi juu ya kushindwa kutambulishwa kwa Jean Baleke licha ya straika huyo wa zamani wa Simba kuonekana mazoezini na kuwa kwenye...

GAMONDI AWAJIBU WANAOMSEMA CHAMA…

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri kusikia kelele nyingi kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa soka hasa wale wa Msimbazi wakiponda usajili uliofanywa na...

BAADA YA KUSAJILIWA NA YANGA PRINCE DUBE AFUNGUKA…NAFURAHI KUWA YANGA.

0
Mshambuliaji wa Yanga SC, Prince Dube amesema kuwa anafurahia kusajiliwa na Klabu hiyo kwani ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu kucheza soka kwenye klabu...

BAADA YA KUWAONA YANGA…FADLU DAVIDS ABADILI MIFUMO SIMBA.

0
FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao za...

WADAU WAMPIKA BALEKE…CHANZO KWENDA YANGA.

0
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa Simba SC Jean Baleke ambaye ameonekana kwa nyakati tofauti na Yanga, amezua maswali mengi na ukosaoji mwingi kutoka kwa wadau wa...

BREAKING NEWS…SIMBA NA YANGA KUPIGWA AGOSTI 8…KILA TIMU INATAMBA

0
Dabi ya Kariakoo ya kwanza Simba na Yanga kwa msimu mpya sasa imefahamika itapigwa Kwa Mkapa siku ya Agosti 8, ikiwa ni mechi ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS