Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

FADLU DAVIDS ANATAKA SIMBA YA MABAO MENGI…AANZA NA VIUNGO NA WASHAMBULIAJI

0
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameahidi kusuka safu kali ya ushambuliaji itakayokuwa tishio kwa timu yoyote itakayokutana nayo akitaka washambuliaji wake wafunge mabao...

YANGA YAWAFICHA CHAMA, AZIZ KI, BALEKE…WAHOFIA WAPINZANI

0
YANGA ni kama imeshtuka vile. Baada ya kuiona Simba ipo kambini Ismailia, Misri na kusikia Azam FC nayo imeondoka nchini kwenda Morocco kuweka kambi...

HUYU GUEDE ANA BALAA…NONGA ASIMULIA

0
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ni kocha wa viungo wa Mbeya City, Paul Nonga amemtaja Joseph Guede kuwa ni mchezaji bora...

GOMONDI HATAKI MCHEZO AISEH…AWEKA WAZI MALENGO YAKE CAF CL

0
KOCHA mkuu wa Yanga Miguel Gamondi, amesema kuwa lengo kuu kwa upande wake ni kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa wa CAF...

YANGA YANASA BEKI MKENYA…YATANGAZA VITA KWA WATANI ZAO SIMBA

0
KLABU YA YANGA inaendelea kushusha vyuma na safari hii imetua kwa beki wa kati raia wa Kenya, Anitha Adongo kwa ajili ya msimu ujao. Hadi...

WAPINZANI WA YANGA WAZUIWA KUTUMIA UWANJA WAO…YANGA ISHINDWE YENYEWE TU

0
JAMBO Hili linaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya wapinzani wao kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Vital’O FC kuzuiwa...

WAZIR JUNIOR KUHUSU KUIFUNGA SIMBA…AMTAJA BOCCO, WAWA NA YONDANI...

0
Kila binadamu huwa na ndoto zake lakini sio kazi rahisi kuifikia ndoto unayoiota kila siku, kutana na Kijana wa Kitanga "The Kingi of CCM...

GAMONDI WALA HANA PRESHA NA UTATU PACHA CPA YANGA

0
MASHABIKI wana Presha kuhusu usajili wa Mastaa kibao kwenye kikosi chao,  haswa ule utatu pacha uliopewa jina la CPA, kwa maana ya Chama, Pacome...

YANGA MWENDO WA DOZI TU…SASA KUKIPIGA NA TIMU YA BUNDASLIGA

0
Kabla ya kuikabili Kaizer Chiefs katika mchezo wa Toyota Cup utakaopigwa Julai 28, Wananchi Yanga watakuwa Afrika Kusini mapema kushiriki michuano mingine waliyoalikwa, Mpumalanga...

FRIJI LA BALEKE HALIGANDISHI…AJITAMBULISHA YANGA

0
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Jean Baleke ambaye alikuwa kwa mkopo kunako klabu ya Al Ittihad ya Libya amethibitisha kujiunga na Young Africans Sc kama...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS