Tag: habari za yanga
CHADRACK BOKA ATUA BONGO USIKU WA MANANE…YANGA YAMFICHA HOTELINI
SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki...
PRINCE DUBE ADUI WA SIMBA ATAMBULISHWA YANGA…KIMAFIA ZAIDI
Nyota wa zamani wa Highlanders FC ya Bulawayo Zimbabwe ya Mugabe, Alipita Super Sports United ya Pretoria na akatamba pia Black Leopard zote kwa...
BENO KAKOLANYA AVUNJA UKIMYA…AWAJIA JUU WANAOMSEMA
ALIYEKUWA kipa wa Singida BS na Simba SC, Beno Kakolanya amemaliza utata, akisema misimamo yake imekuwa ikimponza kwa watu wakimchukulia kama mtovu wa nidhamu.
Beno...
IBENGE ATETA NA CHAMA & AZIZ KI…AFICHUA KILICHO MUAONDOA CHAMA...
Florent Ibenge Kocha mku wa Al Hilal amemzungumzia nyota mpya aliyesajiliwa na Yanga kutoka Simba, Clatous Chama na kilichomkwamisha kufanya vizuri Morocco, huku akitia...
SIMBA YATUA KWA AWESU..YANGA INAMTAKA MATANIAH
Simba inadaiwa kuwa mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili.
Mchezaji huyo anakaribia kujiunga na Simba baada...
YALIYOJIRI DUA YA YANGA JANGWANI..HERSI AONGOZA MAMIA KUMUOMBEA MANJI
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said ameongoza dua maalumu ya kumuombea aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu hiyo, Yusuf Manji ambaye alifariki na kuzikwa...
YANGA YATUA KA MKATA UMEME…ANATOKA DR CONGO
Klabu ya Yanga iko mbioni kumshusha nchini mkata umeme kutoka DR Congo, Onoya Sangana Charve, anayeichezea Klabu ya AS Maniema, ili kuongeza nguvu kwenye...
SABABU ZA KUCHELEWA UTAMBULISH WA BEKI WA YANGA..CHADRACK BOKA
BEKI WA KUSHOTO fundi kabisa Chadrack Boka (24) ndiye mchezaji wa 1 kusajiliwa na Yanga SC 2024|25.
Chadrack Boka amesaini mkataba wa miaka miwili na...
MAJALIWA AING’ATA SIKIO TAIFA STARS AFCON 2017
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa hapendi kuona timu ya taifa ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' ikitolewa mapema katika fainali za...
CLEMENT MZIZE SIO KINYONGE…MUDA WOWOTE ANAKINUKISHA YANGA
STRAIKA LA MAGOLI Clement Mzize halijamaliza msimu wa 2023/2024 kinyonge, kwani amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB akipachika mabao matano huku...