Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

JEAN BALEKE ANUKIA ZAIDI YANGA…GUEDE APEWA THANK YOU

0
HUENDA Hizi zikawa ni taarifa za kushtukiza kwa mashabiki wa soka nchini, kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube...

MKWASA ATAJA NAMNA CHAMA ATAKAVYOMFUKIZISHA KAZI GAMONDI.

0
ALIYEWAHI kuwa kocha mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amezungumzia inshu ya usajili  wa Clatous Chama kwenda Yanga. Clatous Chama amejiunga na Yanga kwa mkataba wa...

HATMA YA TAIFA STARS AFCON KUJULIKANA LEO

0
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inaweza kupangwa katika kundi gumu au mchekea kwenye droo itakayochezeshwa leo Afrika Kusini ya upangaji wa makundi...

MTAPATA TABU SANA…GAMONDI MPAKA 2026 PALE YANGA 

0
Yanga SC imepanga kumuongezea mkataba wa miaka miwili kocha raia wa Argentina Miguel Gamondi utakaomalizika mwaka 2026. Yanga wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na...

YANGA YATOA THANK YOU KWA WAWILI…YUPO KIPA NA KIUNGO

0
MABINGWA WA LIGI KUU YA NBC YANGA Wameanza kutoa 'thank you' kimyakimya, ambapo hadi sasa imeshawaaga nyota wawili akiwemo kipa, Metacha Mnata na kiungo...

FABRICE NGOMA ASHINDWA KUJIUZUIA…AUCHO AMTABIRIA MAKUBWA MUKWALA

0
KIUNGO wa Simba Fabrice Ngoma ameshindwa kujizuia na kufunguka kuwa kwa aina ya wachezaji wanaotua Msimbazi anaona kabisa msimu ujao Wekundu hao wakirejesha mataji...

YAMEFICHUKA…ZILE 5-1 ZILIMPONZA CHAMA SIMBA

0
BAADA ya muda mrefu wa kuhusishwa kwa muda mrefu kusajiliwa na Yanga, hatimaye mapema Jumatatu, wiki hii Clatous Chama alitambulishwa rasmi na klabu hiyo...

ALI KAMWE AWAPIGA DONGO SIMBA…USAJILI WA JOSHUA MUTALE

0
Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuwa usajili wanaoufanya watani zao wa jadi, Simba SC ni wa kawaida...

MIKATABA MIBOVU INAVYOWATESA YANGA..INSHU YA FEISALI NA OKRAH

0
Baada ya Yanga SC kufungiwa na FIFA kutosajili wiki iliyopita, naona lawama nyingi zinaenda kwenye mikataba yao. Wapo wanaodai kwamba wana mikataba mibovu hivyo eneo...

ISHU YA MANULA KWENDA AZAM FC..IKO HIVI

0
ZA NDAANI Kutoka Simba ni kwamba, Mchezaji Aishi Manula amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na Simba SC, Lakini yeyé yupo tayari kuondoka klabuni kwenye...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS