Tag: habari za yanga
AZAM FC WATANGAZA KUACHANA NA PRINCE DUBE…ANUKIA ZAIDI YANGA
UONGOZI wa Azam FC wametangaza kuachana na aliyekuwa mchezaji wao Prince Dube ambaye alikuwa kwenye mgogoro wa kimkataba na miamba hao wa Chamazi.
Kupitia kwenye...
MAUYA ATAJA SIRI YA KAMBI YA YANGA AVIC…HATMA YAKE IKO HIVI
KIUNGO aliyemaliza mkataba Yanga, Zawadi Mauya ameizungumzia misimu minne ndani ya kikosi hicho jinsi ilivyompa upana wa kufanya kazi yake kwa weledi, licha ya...
MOLINGA: CHAMA HAPATI NAMBA YANGA…NI MUDA SAHIHI
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama wa kutimkia Yanga ni uamuzi sahihi kwa...
SABABU 5 YANGA KUINGILIA DILI LA SIMBA KWA MWAMNYETO
INAELEZWA kuwa kuna sababu 5 zilizowafanya Mabosi wa Yanga kumpatia mkataa mpya wa miaka miwili, kitasa Bakari Mwamnyeto, ambapo mwanzoni watani zao walikuwa wanakaribia...
GUEDE, MUSONDA KUMPISHA SOWAH…INJINIA HERSI ASIMAMIA SHOW
YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo...
MASHABIKI WA SIMBA & YANGA WAMKALIA KOONI CHAMA
WAKATI wachambuzi na waandishi wa habari za michezo wakiendelea kutoa taarifa kuhusu hatma ya Clatous Chama Simba, mashabiki wa Simba na Yanga nao hawapo...
GAMONDI ATUMA UJUMBE KWA CHAMA & DUBE…INJINIA HERSI ATIA MKAZO
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe kwa viongozi na wachezaji bila kujali wale wapya ambao wanatajwa kusajiliwa Prince Dube, kiungo Clatous Chama kila...
FIFA YAIFUNGULIA YANGA KUSAJILI…WAANZA NA JITU LA MAGOLI
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga SC adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wao...
YANGA YAMPA MIL 300 MWAMNYETO…KILA KITU KUELEWEKA.
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba wa miaka miwili ili kukitumikia kikosi hicho, huku klabu hiyo ikitoa Sh300 milioni kama pesa ya usajili...
YANGA KUTAMBULISHA KIFAA KIPYA…AUCHO AWAPA RAMANI YOTE
KLABU ya Yanga SC inatarajia kumtambulisha mchezaji kutoka Uganda Hassan Ssenyonjo ili kuzidi kuimarisha kikosi chao kwaajili ya mashindano ya msimu ujao.
Hassan Ssenyonjo, ambaye...