Tag: habari za yanga
SAKATA LA LOMALISA LAMUIBUA MWINYI ZAHERA…HATMA YAKE YANGA
BAADA ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili, beki Mkongomani, Joyce Lomalisa anatajwa kutua Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu...
MIFUMO MINNE YANA KUITUMIA…CHAMA, AZIZ KI, PACOME KUCHEZA PAMOJA
HIVI Umewahi kuifikiria Yanga hii yenye, Clatous Chama kule Prince Dube, Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli na Mudathir Yahya ambao waliwafanya Wananchi...
BAKARI MWAMNYETO NA SIMBA…MAMBO YAMEKUWA MAMBO
Inaelezwa kwamba Viongozi wa Simba wameanza kumnyapia beki wa Yanga Bakari Mwamnyeto baada ya kutokuwa na uhakika wa kuendelea kukipiga katika klabu hiyo.
Taarifa za...
BAADA YA KUMUACHA CHAMA..SIMBA YAJIBU MAPIGO KWA MCHEZAJI WA YANGA.
HABARI ZA KUAMINIKA, kutoka Upande wa Simba ni kwamba tayri kila kitu kimekamilika na muda wowote Simba wanaweza kutoa Thank You ya mchezaji wake...
YANGA YAMUWAHI DIARRA CHAP…KUMPA MKATABA NA MSHAHARA MNONO
YANGA sasa iko mezani na menejimenti ya kipa Djigui Diarra, ili kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuitumikia, licha ya kuwa amebakiza msimu...
YANGA YAHAMIA KWA STRAIKA WA ORLANDO PIRATES…JINA NI HILI
KLABU ya Yanga SC imeanza kufanya mazungumzo ya kumpata kiungo mshambuliaji Mcongoman, Karim Kimvuidi anayecheza Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
Nyota huyo (22), ana uwezo...
UKWELI WAFICHUKA SAKATA LA CHAMA…YANGA WAMPA MIL 700…MSHAHARA MNONO
SAKATA la usajili wa fundi Clatous Chama aliyemaliza mkataba wake Simba, limezidi kuchukua sura mpya, baada ya bosi mmoja wa Zambia kuvujisha siri kiungo...
DUBE AMALIZANA NA AZAM FC…ML 500 ZAMPELEKA YANGA
ALIYEKUWA Mshambuliaji wa AZAM FC Prince Dube ameilipa klabu yake ya zamani Shilingi Milion 500 na sasa yuko huru kujiunga na Yanga ambayo imekuwa...
NI SUALA LA MUDA TU…FEI TOTO NA AZIZ KI..WANATAMBA PANDE ZAO
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi...
YANGA KUFANYA USAJILI WA KIMATAIFA…VYUMA VIMEANZA KUSHUSHWA
UONGOZI wa Yanga chini ya Rais wake Injinia Hersi umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15...