Tag: habari za yanga
YANGA YAWAFICHA MASTAA WAKE ULAYA…KUANZA KUTAMBULISHWA MUDA WOWOWTE
YANGA inapiga hesabu kuwaficha mastaa wake Urusi kujiandaa na msimu mpya wa kimashindano, lakini iwapo itakwama kabisa basi itatua Sauzi na ikakutana uso kwa...
UKWELI KUHUSU SAKATA LA OKRAH NA YANGA..MAPYA YAIBUKA.
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho kumalizana na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa kwa mkopo...
HABARI MPYA KUMHUSU AZIZ KI…YANGA WAZIDI KUJIPANGA
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye...
TFF WAIJUBU YANGA…INSHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI
YANGA wamewaambia mashabiki wao mitandaoni kwamba wameshamaliza madai kwa kuwalipa wachezaji wao wawili walioifungulia kesi Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Shirikisho la Soka Tanzania...
HATMA YA MASTAA 3 YANGA KUJULIKANA…YUMO SKUDU
HATMA ya mastaa watatu wa kigeni Yanga, kujulikana Julai Mosi mwaka huu wakati uongozi wa timu hiyo kutangaza rasmi siku hiyo ni maalum ya...
YANGA HAOO KWA MADIBA…PRE SEASON YA KIBABE
KIKOSI cha Yanga, kinatarajia kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi nchini huko tayari kwa msimu mpya wa mashindano.
Yanga imekubali ombi la klabu...
YANGA YAMPATA MRITHI WA METACHA & MSHERY, ABUBAKAR KHOMEINY
MLINDA Mlango wa klabu ya Ihefu Abubakar Khomeiny amesajili na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akiwa ni mrithi wa nyanda AbdulTwalib...
FARID MUSSA AMTAJA CHAMA KUHARIBU MIPANGO YAKE…ATAJA TUKIO BAYA ALILOKUTANA NALO
KIRAKA Farid Mussa amedumu Yanga kwa misimu yenye mafanikio zaidi kwake akiwa amefanikiwa kutwaa mataji matatu ya Ligi Kuu Bara, na mataji mawili ya...
GAMONDI AWAPA PROGRAMU MAALUM MASTAA WAKE…YMO AZIZ KI NA PACOME
MUITE Miguel Gamondi Master, Hataki masihara na chama lake, amewapatia programu maalum mastaa wake, ili kuwafanya wawe timamu kimwili na akili pindi msimu mpya...
DIDA ASHANGAZWA NA MIGOLI YA MUDATHIR…ASIMULIA KILA KITU
ALIYEWAHI kuwa wa zamani wa Simba SC na Yanga kwa nyakati tofauti, Deogratius Munishi ‘Dida’ amesema miongoni mwa mabao bora ya msimu ulioisha, limo...