Tag: habari za yanga
AZIZ KI KUMFUATA MAYELE, SIMBA WAMKATAA LOMALISA
WAKATI Yanga wakipambana kumbakiza, Stephane Aziz Ki ambaye ndiye kinara wa upachikaji wa mabao msimu huu (21) inaelezwa Pyramids FC ya Misri imeonyesha nia...
DIRISHA LA USAJILI LAFUNGULIWA…SIMBA, YANGA ZAANZA NA MAJINA...
Dirisha la Usajili (FIFA Connect) kwa Klabu za Ligi Kuu ya NBC (NBCPL), Championship League (CL), First League (FL) na Ligi Kuu ya Wanawake...
YANGA KUTAMBULISHA KITABU CHAO LEO…ALI KAMWE ATOBOA YALIYOMO
NI SIKU rasmi ya Mabingwa wa kihistoria Yanga SC kuandika historia nyingine, wanachama na mashabiki wa timu hiyo leo watashuhudia kitabu chao chenye historia...
AZIZ KI NA REKODI HIZI YANGA HANA MPINZANI
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye...
FARID MUSSA ATAJA SIRI ZA GAMONDI NA NABI YANGA
KIRAKA wa Yanga anayemudu kucheza kama winga na beki wa kushoto, Farid Mussa amekiri Kocha Miguel Gamondi anastahili jina la Masta, kwani hana mchezo...
WAKATI VYUMA VIPYA VIKITAJWA KUTUA …GAMONDI AWAPIGA MKWARA MASTAA YANGA…
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewatega wachezaji wake kwa kuwaambia kuwa mchezaji atakayeshindwa kuonyesha kiwango bora katika Kombe la Mapinduzi, basi safari...
BAADA YA KUBANJULIWA 3-O JANA….JEMEDARI SAID KAIBUKA NA ‘DONGO’ HILI...
Klabu ya Yanga 'Wananchi' wameianza hatua ya makundi kwa kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Makundi baada ya kukubali kufungwa na...
SAA CHACHE KABLA YA KUWAVAA WAARABU LEO….JEURI YA YANGA LEO IKO...
ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya Mabingwa wa Tanzania Yanga kushuka Uwanja wa ugenini dhidi ya CR Belouizdad kuna mechi sita zitakazowapa presha Waarabu...
SAFARI YA UKAME WA MIAKA 25 KWA YANGA NDANI YA CAF...
SAA 4 usiku usiguse rimoti. Yanga itakuwa palepale iliposhinda siku ile dhidi ya USM Algers lakini wakakosa Kombe la Shirikisho Afrika sababu ya kikanuni...
NGOWI:- JEZI ZA YANGA KWA MISIMU MITANO IJAYO ZIKO TAYARI…..
Mbunifu maarufu wa mavazi nchini ambaye amekuwa akibuni jezi za Klabu ya Yanga, Sheria Ngowi amesema kuwa tayari ameshamaliza kubuni na kuandaa jezi za...