Tag: habari za yanga
GAMONDI AWEKA WAZI SIRI YA USHINDI MKUBWA
Jumamosi Yanga ikicheza katika Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar, ilitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kutoa kipigo cha...
DILUNGA HUMWAMBII KITU KWA CHAMA.
KIUNGO mshambuliaji wa JKT Tanzania, Hassan Dilunga amemtaja Clatous Chama kuwa ni kiungo bora aliyewahi kumshuhudia kwa miaka ya hivi karibuni kwa mastaa wa...
FADLU AWATAJA KIBU NA CAMARA MASHUJAA WA MNYAMA
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba juzi dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika, umempa mzuka kocha wa timu...
MICHO: KWA SIMBA HII YEYOTE ANAKALIA
KOCHA wa zamani wa Yanga, Milutin ‘Micho’ Sredojevic, ameipongeza Simba kwa kiwango kizuri ilichokionyesha katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi...
BEKI SIMBA ATAROKA KAMBINI…BALAA JINGINE LAIBUKA
WAKATI sakata la mshambuliaji wa Simba Queens, Aisha Mnunka likiwa bado halijaisha, limejibuka jipya kuhusu beki wa timu hiyo Mkongomani Daniella Ngoyi ambaye naye...
YANGA YADONDOKEA KWA VIGOGO AFRIKA
Yanga imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu hiyo katika michuano hiyo...
YANGA WANAONGOZA KWA MAMILIONI GOLI LA MAMA
WAPINZANI wa Yanga kimataifa, CBE SA ya Ethiopia wameipa Yanga jumla ya milioni 35 kwa kufungwa jumla ya mabao 7-0 ndani ya dakika 180...
DUKE ABUYA APATA MZUKA NA BAO LAKE LA CAF
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkenya Duke Abuya juzi usiku alitokea benchi kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar kisha kufunga bao moja kati ya sita...
HII NDIO SIMBA TUNAYOITAKA…WAARABU WAKUBALI MZIKI WA MNYAMA
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya...
FEISAL…DUBE NI MCHEZAJI MZURI…AWATULIZA YANGA
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na sasa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka na kumkingia kifua nyota huyo.
Licha ya kumtetea kukosa nafasi...