Home Tags Habari za yanga

Tag: habari za yanga

MKUDE AKANA KUMROGA AUCHO KISA NAMBA

0
KIUNGO wa Yanga Jonas Mkude maarufu kama Nungunungu amefunguka na kusema kwamba, yeye kama mchezaji hajawahi kumroga mchezaji mwenzake Mganda Khaled Aucho. Mkude aliyesajiliwa na...

KUNA SUPRAIZI ZANZIBAR…YANGA IKIWAKARIBISHA CBE

0
Licha ya Yanga wikiendi iliyopita kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya CBE katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika,...

MAREFA WA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI HAWA

0
Marefa kutoka Guinea na Mauritania ndio wamepangwa kuchezesha mechi za nyumbani za wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga katika mechi zao za marudiano za...

MWAMNYETO AKUBALI KUHITAJIKA SIMBA

1
NAHODHA wa Yanga SC Bakari Mwamnyeto amethibitisha kuwa ni kweli klabu ya Simba SC ilimuhitaji kumsajili kwaajili ya kujiunga na kikosi chao katika msimu...

SIMBA YASHANGAZWA NA AL AHLI…WAJIPANGA KULIPA KISASI

1
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kwamba limeshangazwa na vitendo vilivyofanyika na mashabiki wa Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika...

KIPA CBE BADO ANAMUWAZA DUBE

0
MASHABIKI wa Yanga bado wanasubiri kuona mabadiliko ya washambuliaji wao kuelekea mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini kipa wa...

FEI TOTO ANAMTAKA TENA AZIZ KI…

2
KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anatamani bato yake na Stephane Aziz Ki liendelee tena msimu huu kwani inamuongezea ubora...

GAMONDI ACHUKIZWA NA KUKOSA MABAO

0
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amechukizwa na namna ambavyo wachezaji wake wanavyokosa magoli, licha ya timu yake kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Katika mchezo...

ABDULRAZAK HAMZA ATABIRIWA MAKUBWA SIMBA

0
Tuna kijana wetu, Hamza Abdulrazak. Beki wa mpira. Mtulivu kama alivyo. Anacheza mpira wa miaka ya mbele yake. Simba imejipiga chenga ya mwili na...

NAPENDA KIBURI CHA YUSUPH KAGOMA…SIMBA HAWAJAKOSEA KUMSAJILI

0
Kuna Yusuf Kagoma. Bonge la mchezaji. Wakati Simba walipokuwa wanampigania Lameck Lawi kati yao na Coastal Union nilisafiri na Kagoma na Lawi kwenda Indonesia...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS