Tag: Hatim
HATIM AWASHAURI JAMBO HILI YANGA UPANDE WA KOCHA
Mchambuzi wa soka, Haatim Abdul amesema Yanga SC wanahitaji mwalimu wa wafungaji kwani wanapata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.
Amesema, Yanga wanatakiwa kumtafuta mwalimu anayeweza...